SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
So what? Na nyie mlifungwa na timu iliyokuwa inashika mkia wakati mlikuwa na unbeaten ya mchongo ya mechi 49. Mpira hauko hivyo.Hao ndio walimtoa bingwa mtetezi Rs Berkane alie kukanda 4
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what? Na nyie mlifungwa na timu iliyokuwa inashika mkia wakati mlikuwa na unbeaten ya mchongo ya mechi 49. Mpira hauko hivyo.Hao ndio walimtoa bingwa mtetezi Rs Berkane alie kukanda 4
Nime skim read tu ila huna ubongo tengevu, mbona mechi za jana CAFCL za mwisho zimechezwa muda tofautiKatika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili
Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa kwani ndizo zitakazo nani anakutana na nani
hatua inayofuata
Pamoja na kuwa wote tumeshafuzu,ila ni kwanini hizi mechi zimewekwa muda tofauti!?
Yanga saa kumi jioni wakati Monastir yeye saa tano usiku,why!?
Kuna mwana Simba makini aliniukiza hili swali na miye nawauliza Wana sports forums CAF na Monastir Wana hofia nini mpaka kutenganisha muda hizi timu kucheza!?
Asante sana mkuu Rogers luyangi
Hhahaha mbona kidimbwiAahaaha
Eti kidimbwi
Kwani yeye anataka apangwe na mlandege kama alivyozoea.?Hujaeleweka mzee wangepewa kipaumbele waislamu waliopo tunisia? Si ndo washapewa kipaumbele kwa mechi kuchezwa usiku.
Ok nakuuliza swali kwanini mechi kabla ya mfungo makundi yte yalikuwa yanacheza muda moja. Mfano raja vs horoy na simb vs viper ikawa saa 1 lakn jana horoya vs vipers wamecheza saa kumi jion huk raja na simb n saa saba usik je kulikiwa na upangaj wa matokeo?
Alimkanda nani 4..na lini ?Hao ndio walimtoa bingwa mtetezi Rs Berkane alie kukanda 4
Huyo huyo ambae kila akienda Morocco wanapakataAlimkanda nani 4..na lini ?
Huna ubongo tengevu!?Nime skim read tu ila huna ubongo tengevu, mbona mechi za jana CAFCL za mwisho zimechezwa muda tofauti
Uko utaratibu wa kutumia kushughulikia masuala ya kufunga. Hata kwenye hizo timu 2 za saa kumi kuna waislamu. Hoja yako ni dhaifuNchi ya kongo wakristo ni wengi tofauti na waarabu ambao 98% ni waislam hiv muda huo ndio tayar watakuwa washafuturu na ndio maana hata mevhi ya simba kupigwa saba za usik kwao kul ilikuwa saa 4
Zikichezwa muda mmoja ndo Yanga atashinda?Hizo mechi zilikua za kukamilisha ratiba tofauti na zingine zinatoa muelekeo wa kundi
unadhani kwanini mechi za mwisho hua zinachewa mda mmoja, hasa zile ambazo zinatoa muelekeo wa kundi?Zikichezwa muda mmoja ndo Yanga atashinda?
Kama ushindi upo basi upo tu hakuna haja ya kuwa na hofu juu ya hilo.
Yeye Yanga acheze mpira ashinde huku akijua kabisa Monastr akishinda pia anaweza kuongoza kundi.
Tafuta mchezo wa kushabikia maana mpira wa miguu umekushindaMonastir kule ni kama Namungo tu
Sasa nilichokosea nini? Kwani Monastir anawafikia Etoil du Sahel au Esperance hata kiduchu kwa mafanikio au ukubwa? Namungo si amekuwa anashiriki mashindano ya kimataifa pia?Tafuta mchezo wa kushabikia maana mpira wa miguu umekushindaView attachment 2574203
Kajifunza kwa ManulaYule kipa wa Mazembe eti anapangua kwa kutoa pasi kwa mpigaji 😀 😀 😀
Tafuta mchezo wa kushabikia maana mpira wa miguu umekushindaView attachment 2574203
Kwahiyo kwa akili zako unaamini katika hao wachambuzi uchwara. Endelea kuamini hao ila mpira ni mchezo wa wazi. Monastir ndio timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup. Kwenye msimamo wa ligi ya Tunisia ana point saba sawa sawa na ES Tunis.
Umepakua tu msimamo bila hata kuuelewa. Ile ni hatua ya playoff na ni kwanza wamecheza mechi mbili. Kwani si hata Ruvu Shooting waliwahi kuongoza ligi?Kwahiyo kwa akili zako unaamini katika hao wachambuzi uchwara. Endelea kuamini hao ila mpira ni mchezo wa wazi. Monastir ndio timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup. Kwenye msimamo wa ligi ya Tunisia ana point saba sawa sawa na ES Tunis.
Yanga anaongoza kundiMna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza 🤣😂🤣
Au siyo Mbumbumbu? [emoji23]Mna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Wewe na mchambuzi wako wote hamnazo, timu imemtoa bingwa mtetezi halafu mnasema timu ni mbovu.Umepakua tu msimamo bila hata kuuelewa. Ile ni hatua ya playoff na ni kwanza wamecheza mechi mbili. Kwani si hata Ruvu Shooting waliwahi kuongoza ligi?
Na yule mchambuzi kama haujawahi kumsikiliza anakupa takwimu kabisa, sasa we kwa ubishi wako unataka kushindana na takwimu.