Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Kama Real Bamako kavuta mpunga ofkoz waashinda zote hizo
Kama na Yanga alivyoenda na jopo zima la GSM kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Baada ya kumfunga 6 Mazembe utasikia "tumeingia makubaliano ya ushirikiano na TP Mazembe kuanzisha academy"
 
Kama na Yanga alivyoenda na jopo zima la GSM kuhakikisha mambo yanakwenda sawa. Baada ya kumfunga 6 Mazembe utasikia "tumeingia makubaliano ya ushirikiano na TP Mazembe kuanzisha academy"
Aaaahàaaaa
Kesho siyo mbali mkuu
 
Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili

Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa kwani ndizo zitakazo nani anakutana na nani
hatua inayofuata

Pamoja na kuwa wote tumeshafuzu,ila ni kwanini hizi mechi zimewekwa muda tofauti!?

Yanga saa kumi jioni wakati Monastir yeye saa tano usiku,why!?

Kuna mwana Simba makini aliniukiza hili swali na miye nawauliza Wana sports forums CAF na Monastir Wana hofia nini mpaka kutenganisha muda hizi timu kucheza!?

Asante sana mkuu Rogers luyangi
Hamna shida apo
 
Back
Top Bottom