Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Wewe na mchambuzi wako wote hamnazo, timu imemtoa bingwa mtetezi halafu mnasema timu ni mbovu.

Halafu Monastir hakucheza mechi mbili bali ni mechi moja tu na anapoint 7

Vipi kiapo cha Yanga kutoongoza kundi imefikia wapi?
Monastir katika timu zote 16 kwenye hatua ya makundi kombe la shirikisho, ndiyo ana rekodi mbaya katika maeneo mengi kuliko timu zote. Takwimu zinasema hivyo. Utakuwa punguani kupingana na takwimu kisa hazikufurahishi wewe.
 
Yaani katika timu zote 16 za kwenye makundi kombe la shirikisho,, unasema Monastir ndiye mwenye record mbaya. Halafu mwenyewe unajiona utimamu kichwani. Mchezo wa mpira umekushinda bora utafute mchezo mwingine. Yaani timu iliyofuzu robo fainali ndio yenye record mbaya zaidi kuliko zilizoshika nafasi ya tatu na zilizoburuza mkia. Wewe sio mzima
 
Mna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza 🤣😂🤣
Ogooa Mungu na teknolojia.
 
Nchi ya kongo wakristo ni wengi tofauti na waarabu ambao 98% ni waislam hiv muda huo ndio tayar watakuwa washafuturu na ndio maana hata mevhi ya simba kupigwa saba za usik kwao kul ilikuwa saa 4 usik
Hata wakristo wamefunga KWARESMA
 
Back
Top Bottom