Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Kuna hujuma za upangaji wa matokeo ya kupata kinara wa D kombe la shirikisho?

Katika kundi hili gumu miamba ya Afrika Young Africans wanaongoza kundi D,Kwa tofauti ya goli moja huku ikimuacha nyama Monastir aliye nafasi ya pili

Yanga na Monastir wameachana goili moja huku wakilingana point 10 na mechi za kesho zote mbili dhidi ya hizi timu mbili Zina maslahi makubwa kwani ndizo zitakazo nani anakutana na nani
hatua inayofuata

Pamoja na kuwa wote tumeshafuzu,ila ni kwanini hizi mechi zimewekwa muda tofauti!?

Yanga saa kumi jioni wakati Monastir yeye saa tano usiku,why!?

Kuna mwana Simba makini aliniukiza hili swali na miye nawauliza Wana sports forums CAF na Monastir Wana hofia nini mpaka kutenganisha muda hizi timu kucheza!?

Asante sana mkuu Rogers luyangi
Nime skim read tu ila huna ubongo tengevu, mbona mechi za jana CAFCL za mwisho zimechezwa muda tofauti
 
Hujaeleweka mzee wangepewa kipaumbele waislamu waliopo tunisia? Si ndo washapewa kipaumbele kwa mechi kuchezwa usiku.
Ok nakuuliza swali kwanini mechi kabla ya mfungo makundi yte yalikuwa yanacheza muda moja. Mfano raja vs horoy na simb vs viper ikawa saa 1 lakn jana horoya vs vipers wamecheza saa kumi jion huk raja na simb n saa saba usik je kulikiwa na upangaj wa matokeo?
Kwani yeye anataka apangwe na mlandege kama alivyozoea.?
 
Nchi ya kongo wakristo ni wengi tofauti na waarabu ambao 98% ni waislam hiv muda huo ndio tayar watakuwa washafuturu na ndio maana hata mevhi ya simba kupigwa saba za usik kwao kul ilikuwa saa 4
Uko utaratibu wa kutumia kushughulikia masuala ya kufunga. Hata kwenye hizo timu 2 za saa kumi kuna waislamu. Hoja yako ni dhaifu
 
Zikichezwa muda mmoja ndo Yanga atashinda?

Kama ushindi upo basi upo tu hakuna haja ya kuwa na hofu juu ya hilo.

Yeye Yanga acheze mpira ashinde huku akijua kabisa Monastr akishinda pia anaweza kuongoza kundi.
unadhani kwanini mechi za mwisho hua zinachewa mda mmoja, hasa zile ambazo zinatoa muelekeo wa kundi?
 
Monastir kule ni kama Namungo tu
Tafuta mchezo wa kushabikia maana mpira wa miguu umekushinda
IMG_20230402_180200.jpg
 
Yule kipa wa Mazembe eti anapangua kwa kutoa pasi kwa mpigaji 😀 😀 😀
 
Nikisema mimi naambiwa sijui mpira. Msikilize mzee wa data anachosema hapa.

Monastir ni timu mbovu
Kwahiyo kwa akili zako unaamini katika hao wachambuzi uchwara. Endelea kuamini hao ila mpira ni mchezo wa wazi. Monastir ndio timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup. Kwenye msimamo wa ligi ya Tunisia ana point saba sawa sawa na ES Tunis.
 
Kwahiyo kwa akili zako unaamini katika hao wachambuzi uchwara. Endelea kuamini hao ila mpira ni mchezo wa wazi. Monastir ndio timu iliyomtoa bingwa mtetezi wa CAF confederation cup. Kwenye msimamo wa ligi ya Tunisia ana point saba sawa sawa na ES Tunis.
Umepakua tu msimamo bila hata kuuelewa. Ile ni hatua ya playoff na ni kwanza wamecheza mechi mbili. Kwani si hata Ruvu Shooting waliwahi kuongoza ligi?

Na yule mchambuzi kama haujawahi kumsikiliza anakupa takwimu kabisa, sasa we kwa ubishi wako unataka kushindana na takwimu.
 
Mna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza 🤣😂🤣
Yanga anaongoza kundi
 
Mna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Au siyo Mbumbumbu? [emoji23]
Screenshot_2023-04-03-12-19-39-67_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg


Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Umepakua tu msimamo bila hata kuuelewa. Ile ni hatua ya playoff na ni kwanza wamecheza mechi mbili. Kwani si hata Ruvu Shooting waliwahi kuongoza ligi?

Na yule mchambuzi kama haujawahi kumsikiliza anakupa takwimu kabisa, sasa we kwa ubishi wako unataka kushindana na takwimu.
Wewe na mchambuzi wako wote hamnazo, timu imemtoa bingwa mtetezi halafu mnasema timu ni mbovu.

Halafu Monastir hakucheza mechi mbili bali ni mechi moja tu na anapoint 7

Vipi kiapo cha Yanga kutoongoza kundi imefikia wapi?
 
Back
Top Bottom