Monastir katika timu zote 16 kwenye hatua ya makundi kombe la shirikisho, ndiyo ana rekodi mbaya katika maeneo mengi kuliko timu zote. Takwimu zinasema hivyo. Utakuwa punguani kupingana na takwimu kisa hazikufurahishi wewe.Wewe na mchambuzi wako wote hamnazo, timu imemtoa bingwa mtetezi halafu mnasema timu ni mbovu.
Halafu Monastir hakucheza mechi mbili bali ni mechi moja tu na anapoint 7
Vipi kiapo cha Yanga kutoongoza kundi imefikia wapi?
Mnahitaji uthibitisho gani kuwa hiyo Monastir ni timu mbovu? Yaani katika mechi hiyo muhimu wameshindwa kuwapiga hao Bamako goli 3-0. Au walikuwa hawajali?Au siyo Mbumbumbu? [emoji23]View attachment 2574898
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Tarehe 16 tutakutana tunza hizo takwimuMnahitaji uthibitisho gani kuwa hiyo Monastir ni timu mbovu? Yaani katika mechi hiyo muhimu wameshindwa kuwapiga hao Bamako goli 3-0. Au walikuwa hawajali?
TutawafurahishaTarehe 16 tutakutana tunza hizo takwimu
Yaani katika timu zote 16 za kwenye makundi kombe la shirikisho,, unasema Monastir ndiye mwenye record mbaya. Halafu mwenyewe unajiona utimamu kichwani. Mchezo wa mpira umekushinda bora utafute mchezo mwingine. Yaani timu iliyofuzu robo fainali ndio yenye record mbaya zaidi kuliko zilizoshika nafasi ya tatu na zilizoburuza mkia. Wewe sio mzimaMonastir katika timu zote 16 kwenye hatua ya makundi kombe la shirikisho, ndiyo ana rekodi mbaya katika maeneo mengi kuliko timu zote. Takwimu zinasema hivyo. Utakuwa punguani kupingana na takwimu kisa hazikufurahishi wewe.
Ogooa Mungu na teknolojia.Mna kitu na mtafika mbali ila group hamtaongoza. Waarabu hawakutaka kuwaamini katika makubaliano mliyofanya maana nyie ni kawaida yenu kugeuka wakaona kujihakikishia ngoja mechi yao ichezwe baada ya kwenu kuisha. Mfungeni sasa Mazembe goli 10 kama mnaweza 🤣😂🤣
Hata wakristo wamefunga KWARESMANchi ya kongo wakristo ni wengi tofauti na waarabu ambao 98% ni waislam hiv muda huo ndio tayar watakuwa washafuturu na ndio maana hata mevhi ya simba kupigwa saba za usik kwao kul ilikuwa saa 4 usik