Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Uharamu wa mpira unakuja pale ambapo mpira unakuzuia kufanya Ibada.

Mfano pakiwa na big game au game yoyote, ukienda uwanjani watu wamejaa lakini misikitini wakati huo hakuna watu wote wapo uwanjani au wanaagalia mpira.
Ndo umeandikaje mkuu!
Kwamba kujaa watu uwanjani na kuwa wachache msikitini ndo uharamu wa mpira?
 
Iran, Qatar, Saudi Arabia na nchi za Kiarabu wanacheza timu za mpira wa miguu, yeye ndiye anayeujua zaidi uislam kuliko wao.
Wewe nae rudi kamsikilize vizuri unaleta habari nusu nusu.
Hivo video anayosema mpora haramu iko wapi?
Kila siku mnaanbiwa uharamu huja pale unapokuwa ni muda wa ibada kisha wewe ukawa uwanjani badala ya kufanya ibada kisha ndo uendelee na kucheza ndo uharamu huingia hapo,
Lakini wapi vichwa vyenu vigumu kuelewa.
Halafu unapotolea mfano hizo nchi ndo umeambiwa uwafate au una maana gani kutolea hiyo mifano?
 
Sheria ya dini ya kiislamu kuvaa bukta ikivuka magoti sawa na upo uchi nadhani haramu ipo ipo.

1793096994839.jpg
 
Ndo umeandikaje mkuu!
Kwamba kujaa watu uwanjani na kuwa wachache msikitini ndo uharamu wa mpira?
Hujaelewa

Namaanisha watu wanafanya mambo ya michezo au kutazama michezo mpaka nyakati za sala, hiyo ndiyo point ya Mazinge
 
Mpira unaozungumziwa ni football au mpira condoms anyway...
Nguruwe ni haramu na waislam hao hao wanakula na kusema itajulikana huko huko.

nasi tuinjoi na mipira yetu itajulikana huko huko
 
Uharamu wa mpira unakuja pale ambapo mpira unakuzuia kufanya Ibada.

Mfano pakiwa na big game au game yoyote, ukienda uwanjani watu wamejaa lakini misikitini wakati huo hakuna watu wote wapo uwanjani au wanaagalia mpira.

Si nitalipa swala
 
Back
Top Bottom