Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Uharamu wa mpira unakuja pale ambapo mpira unakuzuia kufanya Ibada.

Mfano pakiwa na big game au game yoyote, ukienda uwanjani watu wamejaa lakini misikitini wakati huo hakuna watu wote wapo uwanjani au wanaagalia mpira.
Umeandika mashudu.

Kwamba leo hii kazi yangu ikinizuia kufanya ibada n haramu?
Familia ikinizuia kufanya ibada, familia yangu ni haramu?
Safari ikinizuia kwenda msikitini, hiyo safari ni haramu?

Makobaz hamjawahi kuwa na akili timamu
 
Uharamu wa mpira unakuja pale ambapo mpira unakuzuia kufanya Ibada.

Mfano pakiwa na big game au game yoyote, ukienda uwanjani watu wamejaa lakini misikitini wakati huo hakuna watu wote wapo uwanjani au wanaagalia mpira.
Mfano uko darasani unapiga pindi au unafanya mtihani na ni muda wa ibada hujaenda tutasema kusoma/kufanya mtihani ni haramu?
 
Mfano uko darasani unapiga pindi au unafanya mtihani na ni muda wa ibada hujaenda tutasema kusoma/kufanya mtihani ni haramu?
Mimi binafsi nimesoma shule ambayo Kila ikisikika adhana kipindi kinasimama wote tunaingia kusali.

Kwahiyo inawezekana kupangilia ratiba na majukumu Kwa kuzingatia nyakati za sala
 
Wahubiri wa kiiislam ni waongo waongo, mahuburi Yao ni ya ki comedy comedy hayana uhalisia. Huyu mazinge ni mfuatiliajinmkubwa Sana wa mpira wa miguu hasa ligi za ulaya na anapenda Sana na anawajua wachezaji
 
Back
Top Bottom