Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Wewe nae rudi kamsikilize vizuri unaleta habari nusu nusu.
Hivo video anayosema mpora haramu iko wapi?
Kila siku mnaanbiwa uharamu huja pale unapokuwa ni muda wa ibada kisha wewe ukawa uwanjani badala ya kufanya ibada kisha ndo uendelee na kucheza ndo uharamu huingia hapo,
Lakini wapi vichwa vyenu vigumu kuelewa.
Halafu unapotolea mfano hizo nchi ndo umeambiwa uwafate au una maana gani kutolea hiyo mifano?

Kama nitalipa swala
 
Mpira unaozungumziwa ni football au mpira condoms anyway...
Nguruwe ni haramu na waislam hao hao wanakula na kusema itajulikana huko huko.

nasi tuinjoi na mipira yetu itajulikana huko huko

Libase Moto
 
Alafu hapa duniani sisi wote Ni wadhambi kila mtu Ana dhambi yake anayogeuza kuwa starehe
 
Wewe nae rudi kamsikilize vizuri unaleta habari nusu nusu.
Hivo video anayosema mpora haramu iko wapi?
Kila siku mnaanbiwa uharamu huja pale unapokuwa ni muda wa ibada kisha wewe ukawa uwanjani badala ya kufanya ibada kisha ndo uendelee na kucheza ndo uharamu huingia hapo,
Lakini wapi vichwa vyenu vigumu kuelewa.
Halafu unapotolea mfano hizo nchi ndo umeambiwa uwafate au una maana gani kutolea hiyo mifano?
Sheikh hapa kwa mazinge umeteleza mara nyingi huwa akisema kwamba mpira ni haram iwe kwa kujihusisha nao au kwa kuvaa jezi za tim mbalimbali
 
Haiwezikuwa hivo hata kidogo mpira haujawahi kuwa Haramu.
 
Back
Top Bottom