kibaigwa finest
JF-Expert Member
- Oct 18, 2026
- 411
- 445
- Thread starter
- #41
Kwahiyo hata minada nayo ni haramu kwasababu watu wanajaa minadani muda wa hiyo swala
Tunataka majibu minada nayo Ni haramu
Kwahiyo hata minada nayo ni haramu kwasababu watu wanajaa minadani muda wa hiyo swala
Muhimu kwa nani?
Maji na swala kipi ni muhimu zaidi kwa binadamu?Walimwenguuu
Mpira ni HARAMU kutokana na mafundisho ya dini ya kiislamu pamoja na hadithi za mtume (SAW).ASA uharamu wa mpira upo wapi
Mpira ni HARAMU kutokana na mafundisho ya dini ya kiislamu pamoja na hadithi za mtume (SAW).
Hayo mambo yamo kwenye hadithi za mtume mkuu.Ila kwenye vitabu vya dini hawajaandika Ni haramu
Sheria ya dini inasema muda wa swala watu wafunge biashara zao Kisha wafungue wakimaliza kusaliKwahiyo hata minada nayo ni haramu kwasababu watu wanajaa minadani muda wa hiyo swala
Aisee, Sasa huo sijui utakuwa ni uislamu wa aina GaniKweli mkuu nalipa
ASA uharamu wa mpira upo wapi
Sheikh hapa kwa mazinge umeteleza mara nyingi huwa akisema kwamba mpira ni haram iwe kwa kujihusisha nao au kwa kuvaa jezi za tim mbalimbali
Hayo mambo yamo kwenye hadithi za mtume mkuu.
Sijui mashekhe wanapatikanaje, ila kuna mashekhe vilaza sana 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 . Huyu, Pembe, na wengine kadhaa wana akili ndogo sana
Aisee, Sasa huo sijui utakuwa ni uislamu wa aina Gani
Aisee, Sasa huo sijui utakuwa ni uislamu wa aina Gani
Sheria ya dini inasema muda wa swala watu wafunge biashara zao Kisha wafungue wakimaliza kusali
sasa dini imezungumziaje mpira?Sheria ya dini inasema muda wa swala watu wafunge biashara zao Kisha wafungue wakimaliza kusali
Wanawake na wanaume kuchangamana, mpira kuhusishwa na makamariNdo umeandikaje mkuu!
Kwamba kujaa watu uwanjani na kuwa wachache msikitini ndo uharamu wa mpira?
Wewe uhalali wake uko wapi?ASA uharamu wa mpira upo wapi