Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu


Kama nitalipa swala
 
Mpira unaozungumziwa ni football au mpira condoms anyway...
Nguruwe ni haramu na waislam hao hao wanakula na kusema itajulikana huko huko.

nasi tuinjoi na mipira yetu itajulikana huko huko

Libase Moto
 
Alafu hapa duniani sisi wote Ni wadhambi kila mtu Ana dhambi yake anayogeuza kuwa starehe
 
Sheikh hapa kwa mazinge umeteleza mara nyingi huwa akisema kwamba mpira ni haram iwe kwa kujihusisha nao au kwa kuvaa jezi za tim mbalimbali
 
Sheikh hapa kwa mazinge umeteleza mara nyingi huwa akisema kwamba mpira ni haram iwe kwa kujihusisha nao au kwa kuvaa jezi za tim mbalimbali
Haiwezikuwa hivo hata kidogo mpira haujawahi kuwa Haramu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…