Kuna huyu sheikh mazinge kila siku anakazania kasema mpira ni haramu

Hao waarabu anaofagilia utamaduni wao leo hii wanacheza mpira na hata kombe la dunia wameandaa sasa yeye anaongea nini huyo pagazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…