Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

ngorokori

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2026
Posts
564
Reaction score
922
Habari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.

Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.

Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.

Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.

Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.

Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
 
Sawa, ujumbe umefika!
 
Hao wafanya biashara wengine wa na paspoti na wengine wana uraia kabisa
 
Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.
 
Mkuu unawaogopa wa mtaani akati Kuna ambao wapo serikalini na wananyadhfa kubwa tena ni wafanya maamuzi?
 
Wasomali maeneo ya kwa Aziz Ally wamejazana wengine mpaka wameanzisha vijiwe vya kuvuta bangi
 
Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.
Kama ni usenge basi hupaswi kutafuta passport ya kuvuka kwenda nchi jirani Kwasababu ulifanya hvy na wewe pia unakuwa ni msenge Kwasababu umefata utaratibu wa ******* ni hvy kiongozi anaechukia *******
 
Mkuu unawaogopa wa mtaani akati Kuna ambao wapo serikalini na wananyadhfa kubwa tena ni wafanya maamuzi?
Serikalini Tena Wana nyazifa kubwa 😳😳😳😳😳. Huweza Kuta ni WA Tanzania wenye asili ya kisomali lakini sio kwamba hajafata utaratibu wowote ule wa kisheria kuingia nchini then anakuwa kiongozi na kama yupo basi ni hatari kubwa sana
 
Back
Top Bottom