Ni hatari mm kuna siku nilikua nawaza hawa jamaa mbona huku wapo wengi sana vipi miaka ya mbele hatutapata shidaLakini still watu tunachukulia poa hili jambo
Nenda Somalia na wewe uone utakavyobaguliwa. Tena angalau hao wasomali wapo nchini lakini hawabaguliwi lakini wao wanakubagua hata kwenye nchi yako. Wanatuita Jareer.Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.
Ndio useenge ninaosemea huo.Nenda Somalia na wewe uone utakavyobaguliwa. Tena angalau hao wasomali wapo nchini lakini hawabaguliwi lakini wao wanakubagua hata kwenye nchi yako. Wanatuita Jareer.
Habari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.
Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.
Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.
Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.
Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
Sijawahi kukutana na hili jambo ila kama ipo hvy wakiwa wengi itakuwajeNenda Somalia na wewe uone utakavyobaguliwa. Tena angalau hao wasomali wapo nchini lakini hawabaguliwi lakini wao wanakubagua hata kwenye nchi yako. Wanatuita Jareer.
SawaHayo maeneo ndy nawaona sana mara kadhaa nnapopita. Hofu sio kuwepo KARIAKOO hofu je wamefata Sheria kuingia nchini
Msomali ukiona yupo Basi ujue amepokelewa na mwenyeji wake hapa nchini. Hao jamaa wana ushirikiano sana wanabebana bila kuangalia wanatokea eneo moja au kabila moja.Hapana kaka hatuwasagii kunguni tunahoji tu je wamefata Sheria ya wao kuwepo nchini
Jareer maana yake nini?Mkuu angalau sisi tunawakaribisha na wako huru. Ukienda Somalia mbantu unabaguliwa hata kuuwawa. Ni jamii ya ajabu sana. Malmo Sweden ni wengi sana.
Kisa kwa ufupi. Kulikuwa na mzenji Sweden alikuwa anatubagua wabongo wenzake ni shombe flani hivi kwa mbaalii anajiita sijui mjukuu wa mtume. Akawa analazimisha kujichanganya na wasomali asee walimtimua nakumuita Jareer. Jamaa anawamaindi sana wasomali.
Mwamba benbella wa Malmo. kama upo jf na unasoma hii comment utajijua tu.
Mwasonga kigambon kumejaa warundi wanajiita waha, nahisi kwakua kule ndani ndani sana ndio wameenda kule kujichimbia.Wasomali, Wachina, Wahindi, Warundi, Warwanda, Wakongo, Wanaigeria wamejaa nchini....Wengi wao Maofisa Uhamiaji wanawajua....Wanawalinda.
Na wakiwa wanaingia Huwa wanafata taratibu au ndy njia za panya akikaa miaka 10 ni raia tayari.Msomali ukiona yupo Basi ujue amepokelewa na mwenyeji wake hapa nchini. Hao jamaa wana ushirikiano sana wanabebana bila kuangalia wanatokea eneo moja au kabila moja.
Wakiwa wengi wataanza kudai haki ikiwemo kutambuliwa kwa jamii yao na haki nyingineSijawahi kukutana na hili jambo ila kama ipo hvy wakiwa wengi itakuwaje
😂😂😂😂😂Mkuu angalau sisi tunawakaribisha na wako huru. Ukienda Somalia mbantu unabaguliwa hata kuuwawa. Ni jamii ya ajabu sana. Malmo Sweden ni wengi sana.
Kisa kwa ufupi. Kulikuwa na mzenji Sweden alikuwa anatubagua wabongo wenzake ni shombe flani hivi kwa mbaalii anajiita sijui mjukuu wa mtume. Akawa analazimisha kujichanganya na wasomali asee walimtimua nakumuita Jareer. Jamaa anawamaindi sana wasomali.
Mwamba benbella wa Malmo. kama upo jf na unasoma hii comment utajijua tu.
Nywele ngumu mbantu au filthy race.Jareer maana yake nini?
Maoni yetu ni kuwa wewe ni masikini na sasa umeaanza kuwa mchawiHabari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.