Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Kuna mstari mwembamba sana kati ya umasikini na uchawi, naona umeshavuka mstari
Huna hoja unaanza kutukana, mimi humu ndio mzee wa matusi, fatilai na sijali nikila ban, kwa hiyo kaa kwa kutulia
Hautakuwa na tusi jipya mzee ambalo Hilo pia Mimi ntashindwa kulijibu.
 
dunia,
Ni nynyi wa vijijni mmeingia miji mikubwa mnashangaa magorofa na majumba mazuri yote ya wahindi na waarabu na wasomali inawauma sana, hamjui walikuwepo tokea enzi ya ukoloni, na nyerere wenu mshenzi aliwanyang'anya majumba yao badala yake akaigeuza kuwa nchi masikini ya pili kutoka mwisho wakati akiwa raisi

Mkuu umenena jambo la kweli, watu hawasomi wala kuuliza historia ya Tanganyika

Wanakurupu kubagua waTanganyika na waTanzania wenzao wa nasaba mbalimbali
 
Alafu wanavisasi vya Damu yaani kwa bahati mbaya au makusudi ukawa umeuwa ndugu yao mmoja basi na wao lazima waje kuuwa ndugu yako mmoja. Ila sina shaka najua Gen Z wa tz wapo gado hapo mbeleni watasafisha hii nchi kama wasouth walivyofanya huku Uhamiaji wakiwa wapo kama hawapo vile. Africa taasis nyingi zinazingua ile kinoma.
 
Sasa kwanini tusubirie mbaka Gen Z wafanye hayo wakati tunaweza kufanya Sasa hivi Kwa kuweka mazingira yatakayowalazimu kufata utaratibu wa kuingia nchini
 
Malalamiko yako hayatafanyiwa kazi.
Okay Mimi sio muathirika ila nimetoa kama tahadhari. Pia kama shida ni dini Mimi pia ni muislam lakini linapokuja swala la kufikirisha na kutafakarisha ni lazima kuuliza wengine ni hvy tu mkuu.
 
Okay Mimi sio muathirika ili nimetoa kama tafadhari. Pia kama shida ni dini Mimi pia ni muislam lakini linapokuja swala la kufikirisha na kutafakarisha ni lazima kuuliza wengine ni hvy tu mkuu.
Bongo watu huwa wanatembea na upepo wa mtawala wa wakati huo.
 
Hiyo ni mitaji ya maofisa uhamiaji ndio wanapokula dola huko
Kuna jamaa anawapokea kabisa kule ndani kabla hawajafika Immigration counter, na kukusanya Pass zao zote, zinaenda kwa incharge Uhamiaji zikiwa na bahasha kubwa ya khaki.....😀Ushanifahamu?.
 
Kuna jamaa anawapokea kabisa kule ndani kabla hawajafika Immigration counter, na kukusanya Pass zao zote, zinaenda kwa incharge Uhamiaji zikiwa na bahasha kubwa ya khaki.....😀Ushanifahamu?.
😳😳😳😳😳
 
Ni nynyi wa vijijni mmeingia miji mikubwa mnashangaa magorofa na majumba mazuri yote ya wahindi na waarabu

TOKA MAKTABA :

Prof. Karim Manji mtanzania mzalendo atambuliwa kwa mchango wake katika afya ya umma

View: https://m.youtube.com/watch?v=wMIcLwGPxdk
Prof. Karim Manji from MUHAS has made history as the first Tanzanian to win the Harvard T.H. Chan School of Public Health Alumni Merit Award 2024.
 
Back
Top Bottom