Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.
Akiwapo huyu Mseee....ge alieanzisha uzi na yeye aende huko aangalie fursa Hawa ndugu zetu wasomali wamewekeza sana katika Logistick nnchini Dunia ni yetu sote.
 
Akiwapo huyu Mseee....ge alieanzisha uzi na yeye aende huko aangalie fursa Hawa ndugu zetu wasomali wamewekeza sana katika Logistick nnchini Dunia mi yetu sote.
Brother na wewe ni msomali?.
 
Sawa bwana makebo. Alhamdulillah nakula nnachotaka. Wewe pambana Sasa upate hata huo mlo mmoja ili njaa zisikuue na kuwatetea usio wajua. Unazani ukiwatetea ndy watakupatia pesa mzee haipo hvy
Umejibu kinyonge sana
 
🤔🤔🤔🤔🤔 Haya pia ni maoni siwezi ya Pinga mkubwa wa kazi. Ila sizanii kama hili unalosema ni la uhakika
Ni uhakika sina haja ya kumsea MTU uongo , nilikuwa na picture za huko mkopo wa Somalia walikopesha TZ dollar millio 100.😂. Sema zimepotea
Mkuu endelea , kuishi kwa amani na upendo , until next actions
 
Wewe ni raia mwema. Ninakushauri uende ofisi za idara ya uhamiaji upeleke dukuduku lako.
 
Ni uhakika sina haja ya kumsea MTU uongo , nilikuwa na picture za huko mkopo wa Somalia walikopesha TZ dollar millio 100.😂. Sema zimepotea
Mkuu endelea , kuishi kwa amani na upendo , until next actions
😂😂😂😂😂 Sawa mkubwa. Mimi sinaga ugomvi na mtu.
 
Kwasababu sioni haja ya kujikweza. Then kama kitu unacho unacho tu, unazani nimepungukiwa kitu nilivyojibu kinyonge.
Sawa acha uchawi basi , pambana kutafuta hela ili roho ya kunguni ikutoke , wabongo wenzako wanafanya nao biashara na maisha yanaenda
kama una ushahidi ya shuguli zao au kuwepo kwao sio kwa kisheria ya nchi, toa ushahidi badala ya kuwa na gubu kwa vile tu ni wasomali au wahindi au waarabu
 
Kama wamefuata taratibu waache waishi ni sisi tuu Tanzania hatutaki tembea hata Diaspora tupo wachache.
Na hoja yangu ni Kwa mtu asiefata utaratibu Kwasababu haujui lengo lake la kuja huku ni Nini?
 
Sawa acha uchawi basi , pambana kutafuta hela ili roho ya kunguni ikutoke , wabongo wenzako wanafanya nao biashara na maisha yanaenda
kama una ushahidi ya shuguli zao au kuwepo kwao sio kwa kisheria ya nchi, toa ushahidi badala ya kuwa na gubu kwa vile tu ni wasomali au wahindi au waarabu
Bado sijaona tofauti ya akili yako na kinyesi. Anyway umeeleweka ila unatakiwa kujua Mimi sio wa huko unapowaza wewe ni hvy tu mkubwa.
 
Sawa fika uhamiaji ukawaeleze hili oni lako watakusikiliza.
Yaani mlugaluga atoke vijijjini na kuingia mjini akiona wasomali wamekaa nje ya magorofa aende uhamiaji kupeleka taarifa, Aiseee, hebu kuweni serious basi
 
Yaani mlugaluga atoke vijijjini na kuingia mjini akiona wasomali wamekaa nje ya magorofa aende uhamiaji kupeleka taarifa, Aiseee, hebu kuweni serious basi
🤣🤣 nimemwambia afanye hivyo ili wamtulize hiki kiherehere chake. Vyombo vya dola ikiwemo Immigration sio wajinga wanajua kazi yao. Huyu mleta uzi ni mtu anayependa kufuatilia maisha ya watu.
 
Bado sijaona tofauti ya akili yako na kinyesi. Anyway umeeleweka ila unatakiwa kujua Mimi sio wa huko unapowaza wewe ni hvy tu mkubwa.
Kuna mstari mwembamba sana kati ya umasikini na uchawi, naona umeshavuka mstari
Huna hoja unaanza kutukana, mimi humu ndio mzee wa matusi, fatilai na sijali nikila ban, kwa hiyo kaa kwa kutulia
 
Back
Top Bottom