Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Wakiwa wengi wataanza kudai haki ikiwemo kutambuliwa kwa jamii yao na haki nyingine
Je Kuna uwezekano wowote wa kulidhibiti jambo Hilo kabla halijatokea. Ni heli wadai haki hio hali ya kuwa wamefata taratibu za kuingia nchini yaani hata wakiwa wengi zaidi ya wenyeji sio shida. Shida hawafati utaratibu unavyotaka.
 
We umejuaje kama hawafati taratibu?
 
Nawe jifanye uende uj8changanye nao eti all muslims are brothers na hilo lisijdah lako kubwa kama chapati. Watakutimua na kukuita Jareer.
Yaani unaanzanza kujichanganya na watu nisiowajua?

Wewe huku uliko unaweza kuanza kujichangabya na wagambia au wanaijeria hatab kama ni wagalatia wenzako?

Kuna mbongo humu alileta mada yuko UK, kaingia Pub halafu akabeba gilasi ya bia na kuvagaa meza ya wazungu eti anajichangaya, wala hawakusema kitu, wote waliinuka na kumwachia meza, akaanza kulia ubaguzi
Mimi hata hapa bongo, unifanyie hivyo huku sikujui unaweza kula mambata
 
Si unaishi Manchester weweee?
 
Ni kweli mkuu. Ila wasomali wamezidi kwa ubaguzi. Wasomali na wayahudi ndo jamii duniani yenye ubaguzi sana. Mwarabu ni cha mtoto. Ingetokea wasomali wamejaliwa kama wayahudi kwa akili na mali sijui ingekuwaje? Nawajuwa vema sana tabia zao, mila zao. Nimesha date na mabinti watatu wasomali Aisha, sulekha na muna. Muna nilimpendaga sana kwasababu don't care ametokea Hargeisa somali land. Aisha na sulekha wametokea (Moq) mogdishu.

Kisa kifupi cha Muna. Muna siku moja alienda swimming pool kuogelea akawa amevaa bikini. Sasa hapo swimming kulikuwa na mbaba flani msomali akamaindi akamuapproach na kumkaripia kwa kisomali kwanini amevaa kichupi (bikini). Muna akamjibu kwa kiingereza akijifanya yeye siyo msomali na hajui kumbe anakielewa what are you saying? Huyo mshua Akaendelea kumkaripia kwa ukali kisomali usijifanye wewe hujui kisomali wewe wewe ni msomali. Muna akamjibu sorry I don't understand you am Ethiopian. Huyo dingi alimaindi akamuambia kwa kingreza you are a disgrace to our race.
Huyo mzee alikuwa mstaarabu angekutana na wasomali wabishi huyo binti angepewa adhabu hapo hapo
 
Back
Top Bottom