Kuna idadi kubwa ya wasomali wanaoishi maeneo ya mjini. Je vyombo vya usalama wana taarifa zao za uhalali wa kuishi hapa?

Si unaishi Manchester weweee?
Mimi niko Milton Keynes

Wewe kama una hela nenda kafanye biashara na wasomali, sijawahi kuona jamii waaminifu na dhamana ya mtu kama wasomali, hata siku moja hawezi kukutia ndani ndio maana wanafanikiwa sana kibiashara
Wameshika Kenya yote kwenye biashara sasa, muhindi kaingia mtini

Ila unawajua wasomali mpaka wanakotoka kikabila si utani, wale somali land ndio wa kwanza kuingia nchi za ulaya, sasa kilivyonuka mogadishu ndio ndio na wakaanza kujaa huku wakiwaleta usnitchi wa somali land kuwa warudishwe kwao nchi yao ina amani baada ya kujitenga,
Hao hawaoani kabisa, wa somali land hwezi kuoa wa mogadisho sijui kwa nini
 
Maoni yetu ni kuwa wewe ni masikini na sasa umeaanza kuwa mchawi
Haya ni maoni yako na siwezi kupinga maoni yako bwana makebo. ila naomba kuuliza Kwani wewe ni msomali?
 
Mimi niko Milton Keynes

Wewe kama una hela nenda kafanye biashara na wasomali, sijawahi kuona jamii waaminifu na dhamana ya mtu kama wasomali, hata siku moja hawezi kukutia ndani ndio maana wanafanikiwa sana kibiashara
Wameshika Kenya yote kwenye biashara sasa, muhindi kaingia mtini

Ila unawajua wasomali mpaka wanakotoka kikabila si utani, wale somali land ndio wa kwanza kuingia nchi za ulaya, sasa kilivyonuka mogadishu ndio ndio na wakaanza kujaa huku wakiwaleta usnitchi wa somali land kuwa warudishwe kwao nchi yao ina amani baada ya kujitenga,
Hao hawaoani kabisa, wa somali land hwezi kuoa wa mogadisho sijui kwa nini
Dogo kobaz kwa babu unafanya nini? Unaishi? Hao wa Somali Land ndo wa kwanza kwenda abroad wako wengi sana Manchester na Ontario. Hawa janjajanja wa mogdisho ni wa juzi tu abroad. Asee hadi ukajuwa Adama Barrow alikuwa anabeba box London.

Na huyu billionaire wa kisomali wa Somali Land Daabshiil utakuwa unamjua tu.
 
Haya ni maoni yako na siwezi kupinga maoni yako bwana makebo. ila naomba kuuliza Kwani wewe ni msomali?
mimi sio msomali, ila sina ubaguzi na mwafrika mwenzagu sababu nimezunguka dunia,
Ni nynyi wa vijijni mmeingia miji mikubwa mnashangaa magorofa na majumba mazuri yote ya wahindi na waarabu na wasomali inawauma sana, hamjui walikuwepo tokea enzi ya ukoloni, na nyerere wenu mshenzi aliwanyang'anya majumba yao badala yake akaigeuza kuwa nchi masikini ya pili kutoka mwisho wakati akiwa raisi
kwani mbongo amekatazwa kutafuta hela na yeye aishi kama hao?
 
Somali walitoa pesa nyingi kwa CCM ili wa join EA, na pia wameingia makubaliano ya kukaguliwa makaratasi on arrival. Yan wanatoka Somali bila ukaguzi wa Visa, ila wanapofika ndio ukaguzi wa Visa unaanza.

Kwa hio wasomali unao waona hapo mjini na hasa karibu na maeneo zilipo ofisi za CCM jua wamefika kwa njia hii.
Halafu Somali hawana ubalozi hapa TZ , na TZ nao hawana ubalozi Somalia, coz Somalia sio Nchi unajenga embassy ya KAZI Gani 🤣

CCM wanatuaribia Nchi yetu pakubwa sana
 
Nimegundua una schizophrenia mkubwa. Ila wakikuwahi unaweza kupona kabisa bila kuwa na prognosis mbaya, pia Haina haja ya Mimi kujitambulisha kwako mkuu, huwenda nikawa ndy bosi wako nnae kulisha ni hvy tu mkubwa asie na ubaguzi
 
Dogo kobaz kwa babu unafanya nini? Unaishi? Hao wa Somali Land ndo wa kwanza kwenda abroad wako wengi sana Manchester na Ontario. Hawa janjajanja wa mogdisho ni wa juzi tu abroad. Asee hadi ukajuwa Adama Barrow alikuwa anabeba box London.

Na huyu billionaire wa kisomali wa Somali Land Daabshiil utakuwa unamjua tu.
Nliishi miaka ya zamani nikakamata kinyago chao kwahiyo nazungusha tu hata sikai sana

Aisee hio dahabshili ndio wabongo ilitusaidia sana miaka ya nyuma kutuma hela bongo nyumbani hadi osama alivyovuruga ikawa ngumu kutuma wasomali wakawa wanatumiana kisiri wao kwa wao kama hawakujui wanakutolea nje kutuma hela, miaka ile kulikuwa hakuna zaidi ya western union halafu wanakata tozo kubwa kinoma, dahabshili ilikuwa mwokozi.
Mtoto wake ndio alikuwa white chapel kwenye ofisi yao ya kwanza london , alikuwa mwenyewe pale ofisini tukituma hela, nakumbuka nilienda kutuma paundi 5000 kwa Mama yangu aninunulie kiwanja, ikabidi atoke ofisi aje kaunta akaniambia inabidi ulete proof of income
daah leo ni matajiri kinoma
 
Somali walitoa pesa nyingi kwa CCM ili wa join EA, na pia wameingia makubaliano ya kukaguliwa makaratasi on arrival. Yan wanatoka Somali bila ukaguzi wa Visa, ila wanapofika ndio ukaguzi wa Visa unaanza.

Kwa hio wasomali unao waona hapo mjini na hasa karibu na maeneo zilipo ofisi za CCM jua wamefika kwa njia hii.
Halafu Somali hawana ubalozi hapa TZ , na TZ nao hawana ubalozi Somalia, coz Somalia sio Nchi unajenga embassy ya KAZI Gani 🤣

CCM wanatuaribia Nchi yetu pakubwa sana
🤔🤔🤔🤔🤔 Haya pia ni maoni siwezi ya Pinga mkubwa wa kazi. Ila sizanii kama hili unalosema ni la uhakika
 
Nimegundua una schizophrenia mkubwa. Ila wakikuwahi unaweza kupona kabisa bila kuwa na prognosis mbaya, pia Haina haja ya Mimi kujitambulisha kwako mkuu, huwenda nikawa ndy bosi wako nnae kulisha ni hvy tu mkubwa asie na ubaguzi
wewe pambana uwe unakula hata milo miwili kwa siku, ungeweza hivyo wala hata usingewafungilia uzi wasomali kwa njaa zako
 
Sawa bwana makebo. Alhamdulillah nakula nnachotaka. Wewe pambana Sasa upate hata huo mlo mmoja ili njaa zisikuue na kuwatetea usio wajua. Unazani ukiwatetea ndy watakupatia pesa mzee haipo hvy
 
Nliishi miaka ya zamani nikakamata kinyago chao kwahiyo nazungusha tu hata sikai sana

Aisee hio dahabshili ndio wabongo ilitusaidia sana miaka ya nyuma kutuma hela bongo nyumbani hadi osama alivyovuruga ikawa ngumu kutuma wasomali wakawa wanatumiana kisiri wao kwa wao kama hawakujui wanakutolea nje kutuma hela, miaka ile kulikuwa hakuna zaidi ya western union halafu wanakata tozo kubwa kinoma, dahabshili ilikuwa mwokozi.
Mtoto wake ndio alikuwa white chapel kwenye ofisi yao ya kwanza london , alikuwa mwenyewe pale ofisini tukituma hela, nakumbuka nilienda kutuma paundi 5000 kwa Mama yangu aninunulie kiwanja, ikabidi atoke ofisi aje kaunta akaniambia inabidi ulete proof of income
daah leo ni matajiri kinoma
Heshima kwako mkuu. Very interesting comment.
 
Back
Top Bottom