Sawa, ujumbe umefika!Habari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.
Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.
Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.
Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.
Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
Hao wafanya biashara wengine wa na paspoti na wengine wana uraia kabisaHabari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.
Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.
Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.
Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.
Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.Habari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.
Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.
Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.
Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.
Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
Wasomali maeneo ya kwa Aziz Ally wamejazana wengine mpaka wameanzisha vijiwe vya kuvuta bangiHabari za jioni ndugu,jamaa na marafiki.
Kuna jambo Huwa linafikirisha sana hususa nikipita MAENEO ya mjini kama KARIAKOO, DAR-ES-SALAAM. Una Kuta Kuna idadi kubwa ya wasomali hasa maeneo ya msikitini wapo wengi sana.
Na baadhi yao hawafahamu kabisa kiswahili na mara nyingi unawakuta wamekaa msikitini ( ndani ya msikiti) au nje kwenye migahawa siku nzima (yaani asubuhi mbaka usiku wa majira ya saa 3) jambo ambalo linanipatia mashaka na wasiwasi wa kujiuliza maswali mengi sana.
Je Hawa ni wafanya biashara, kama ni hvy ni biashara gani?, na mbona muda wote wapo wamekaa tu?, vipi kuhusu uhalali wa wao kuishi nchini?, wamezingatia vigezo vyote?, je tuna uhakika na tumeshafanya uchunguzi kuhusu wao na usalama wetu pia?.
Huwa najiuliza maswali mengi sana kuhusu Hawa watu.
NB: Lengo sio wasomali, lengo ni raia yeyote asie eleweka iwe ni kutoka ndani ya Afrika au nje ya Afrika.
Wadau mnamaoni gani juu ya hili swala?.
Kama ni usenge basi hupaswi kutafuta passport ya kuvuka kwenda nchi jirani Kwasababu ulifanya hvy na wewe pia unakuwa ni msenge Kwasababu umefata utaratibu wa ******* ni hvy kiongozi anaechukia *******Huwa nashangaa sana waafrika waseenge wanavyowabagua waafrika wenzao kwa hii mipaka ya kiseenge iliyowekwa na waseenge.
Serikalini Tena Wana nyazifa kubwa π³π³π³π³π³. Huweza Kuta ni WA Tanzania wenye asili ya kisomali lakini sio kwamba hajafata utaratibu wowote ule wa kisheria kuingia nchini then anakuwa kiongozi na kama yupo basi ni hatari kubwa sanaMkuu unawaogopa wa mtaani akati Kuna ambao wapo serikalini na wananyadhfa kubwa tena ni wafanya maamuzi?