Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Design Your Idea

Senior Member
Joined
Jun 3, 2024
Posts
154
Reaction score
480
Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
 
Mkuu nadhani unaifahamu dhana ya the anonymity effect ,wengi hawajavurugwa wala hawana matatizo ya akili isipokuwa wanatumia fake IDs kama kivuli cha kuongea jambo lolote lile wanaloamua.

Usichanganye mental health na social decay ya watu walioamua tu kuwa wa hovyo kwa sababu wanatumia fake IDs.
 
Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
GENTAMYCINE hatuonani kabisa mwamba. Bado uko Kampala? Msalimie mwana wa Mfalme Muhoozi Kainerugaba
 
Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Tilahtilah akikosa No.1 tunaandamana.
 
je hawa wanaojisifia kuandamana na kumwaga damu za wenziwe sio vichaa kweli au wanamajini wametumwa kumwaga damu ....utakuta ambaye hajaandamana ndiye anakufaaa
 
Back
Top Bottom