Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Sawa...
Nauza tomato kidumu 2500 cha lita tano karibuni sana wakuu
Nauza tomato kidumu 2500 cha lita tano karibuni sana wakuu
😁😁😁😁😁😁Jambo la kuchekesha ni kwamba,kila mmoja humu JF anamuona mwenzake ndiyo karukwa na akili/mchizi fresh!Kwa hiyo usiisumbue akili yako kufanya uchunguzi.Furahia life yako.
🔥🔥🔥Sawa...
Nauza tomato kidumu 2500 cha lita tano karibuni sana wakuu
Huwa naona mambo kuhusu tomato tu.Hivi huwa ina maana gani?Sawa...
Nauza tomato kidumu 2500 cha lita tano karibuni sana wakuu
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu, ndio maana kuna baadhi ya mijadala mingine humu ndani kwa ustawi wa afya yangu ya akili inabidi niiruke au inipite tu maana kuna wadau wanakuwaga na mawazo yao tu ndio sahihi ukiweka hoja tofauti tu, anakushukia na matusi chungu nzimaNAfikri bwana ERoni na Moisemusajiografii Mshana Jr wanaweza kubaliana na mimi kuwa vijana wengi humu hawajui kutengeneza hoja, sasa ili aoneshe umwamba anaishia kukutukana ili ujsikie vibaya bila kujua kuwa ameji expose udhaifu wake.
Lakini pia ni afya ya akili, haiwezekani mtu 80 percent ya maandishi yako humu yawe matusi, kuna kitu mtu hayuko sawa ,haswa msongo ,sasa akikupata umeingia 18 zake anakushushia matusi yote maana anajichukia ndani kwa ndani.😁
Vijana wa msongo sana mtaani ,tatizo tunasubiri hadi waanze kuokota makopo ndio tujue wamevurugwa.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kujitaja ana msongo humu. Sijui kama alipata msaada ila alikuwaga mkali sana katika comments ila kumbe mwenzetu alikuwa mentally disturbed.
de Gunner sikusemi kwa ubaya ila kuna kitu hakiko sawa juu yako.NAfikri bwana ERoni na Moisemusajiografii Mshana Jr wanaweza kubaliana na mimi kuwa vijana wengi humu hawajui kutengeneza hoja, sasa ili aoneshe umwamba anaishia kukutukana ili ujsikie vibaya bila kujua kuwa ameji expose udhaifu wake.
Lakini pia ni afya ya akili, haiwezekani mtu 80 percent ya maandishi yako humu yawe matusi, kuna kitu mtu hayuko sawa ,haswa msongo ,sasa akikupata umeingia 18 zake anakushushia matusi yote maana anajichukia ndani kwa ndani.😁
Vijana wa msongo sana mtaani ,tatizo tunasubiri hadi waanze kuokota makopo ndio tujue wamevurugwa.
Kuna jamaa mmoja aliwahi kujitaja ana msongo humu. Sijui kama alipata msaada ila alikuwaga mkali sana katika comments ila kumbe mwenzetu alikuwa mentally disturbed.
Kwamba ukubwa wa tatizo ndiyo unatofautiana siyo?Jambo la kuchekesha ni kwamba,kila mmoja humu JF anamuona mwenzake ndiyo karukwa na akili/mchizi fresh!Kwa hiyo usiisumbue akili yako kufanya uchunguzi.Furahia life yako.
Data iko wazi wanaiweka sehemu humu humu kwenye websiteKwani jf tupo wangapi
Weka hapa kwa ili watu wajione kama wapo sawaData iko wazi wanaiweka sehemu humu humu kwenye website
Kabisa.Kwa mfano,mimi mwenyewe nikikaa kwa kutulia huwa najiona kabisa nina kauchizi flani hivi.Kwamba ukubwa wa tatizo ndiyo unatofautiana siyo?
Total: 80,864 (members: 542, guests: 80,322)Weka hapa kwa ili watu wajione kama wapo sawa
Uchizi ni sehemu ya ubinadamuKabisa.Kwa mfano,mimi mwenyewe nikikaa kwa kutulia huwa najiona kabisa nina kauchizi flani hivi.
🖕🖕🖕 Jamaa acha ushenziAm glad you have proved my point