Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Naanza na huyu GENTAMYCINE
 
tabia za lamo kivipi? sina cha kujutia bwana usinitishe
Unaona alianza akafikiri Mm mzembe mbona sikuhizi anakuja kwa kunyatia anajua Nikiamua kumkandia itamuumiza vibaya
 
Wengine humu hawajadili hoja kwa hoja.. ni mihemko na matusi juu
NAfikri bwana ERoni na Moisemusajiografii Mshana Jr wanaweza kubaliana na mimi kuwa vijana wengi humu hawajui kutengeneza hoja, sasa ili aoneshe umwamba anaishia kukutukana ili ujsikie vibaya bila kujua kuwa ameji expose udhaifu wake.

Lakini pia ni afya ya akili, haiwezekani mtu 80 percent ya maandishi yako humu yawe matusi, kuna kitu mtu hayuko sawa ,haswa msongo ,sasa akikupata umeingia 18 zake anakushushia matusi yote maana anajichukia ndani kwa ndani.😁

Vijana wa msongo sana mtaani ,tatizo tunasubiri hadi waanze kuokota makopo ndio tujue wamevurugwa.

Kuna jamaa mmoja aliwahi kujitaja ana msongo humu. Sijui kama alipata msaada ila alikuwaga mkali sana katika comments ila kumbe mwenzetu alikuwa mentally disturbed.
 
Nusu ya wananchi humu wana changamoto ya afya ya akili
Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Jambo la kuchekesha ni kwamba,kila mmoja humu JF anamuona mwenzake ndiyo karukwa na akili/mchizi fresh!Kwa hiyo usiisumbue akili yako kufanya uchunguzi.Furahia life yako.
 
NAfikri bwana ERoni na Moisemusajiografii wanaweza kubaliana na mimi kuwa vijana wengi humu hawajui kutengeneza hoja, sasa ili aoneshe umwamba anaishia kukutukana ili ujsikie vibaya bila kujua kuwa ameji expose udhaifu wake.

Lakini pia ni afya ya akili, haiwezekani mtu 80 percent ya maandishi yako humu yawe matusi, kuna kitu mtu hayuko sawa ,haswa msongo ,sasa akikupata umeingia 18 zake anakushushia matusi yote maana anajichukia ndani kwa ndani.😁

Vijana wa msongo sana mtaani ,tatizo tunasubiri hadi waanze kuokota makopo ndio tujue wamevurugwa.

Kuna jamaa mmoja aliwahi kujitaja ana msongo humu. Sijui kama alipata msaada ila alikuwaga mkali sana katika comments ila kumbe mwenzetu alikuwa mentally disturbed.
Tuvumiliane tu.Maana,yaonesha kila mtu ana kauchizi fresh kimtindo wake.
 
Fake IDs inavua gamba la unafiki. Mtu atatoa mawazo yake bila kuogopa mtu. Mimi naona ni nzuri zaidi kwa watu wanaofanya utafiti mbali mbali. Kwa mada zinazoletwa hapa ni njia rahisi zaidi kupata feedback za watu kutokana na mitazamo yao ili kujua undani wa tatizo.
 
Back
Top Bottom