Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

sasa kama wengi humu ni anonymous, from what someone ana share huwezi jua kama ana changamoto ya afya ya akili au hana. Nyie mnao assess watu from what wana share humu ndio mna changamoto ya afya ya akili. Wengi wanachagua cha ku share humu and how to behave, muache kuchukulia mambo serious.
 
Siko hapa kutaja mtu.

Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.

Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.

Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
MAKAO MAKUU WA WAGONJWA WA AKILI TANZANIA YANAPATIKANA MISIKITINI NA MAKANISANI HASA MAKANISA YA WALOKOLE.
 
Juzi kati hapa nimesoma taarifa moja; UN wanakusudia kutangaza "Mental health issues" kama global agenda kwa sasa. Sio habari nzuri sana, sio muda "Mental health issue" itakuwa ni suala mtambuka "Cross-cutting issue" kama Climatic Changes, Global warming, na masuala ya Gender. 😊
Msishangae huko mbele, kukawa na wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, walemavu na afya ya akili. 😊
 
Back
Top Bottom