Agent Smith
Member
- Jul 2, 2026
- 62
- 140
Wanasaikolojia wa jf bhana. Hapo si ajabu haujawahi kusoma hata topic moja ya masuala ya saikolojia lakini nawe unajiona mtaalamu unaeweza kujua hali ya akili ya mtu kwa kusoma anachoandika tu. Tujenge utamadumi wa kuheshimu fani za watu. Saikolojia ni taaluma watu wanalipa ada na kutumia miaka kadhaa kuisomea