Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Kuna IDs ambazo unaweza kudhani wanafanya masihara lakini kiukweli wana viashiria vya issue ya afya ya akili. Msiwanyanyapae!

Juzi kati hapa nimesoma taarifa moja; UN wanakusudia kutangaza "Mental health issues" kama global agenda kwa sasa. Sio habari nzuri sana, sio muda "Mental health issue" itakuwa ni suala mtambuka "Cross-cutting issue" kama Climatic Changes, Global warming, na masuala ya Gender. 😊
Msishangae huko mbele, kukawa na wizara ya Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, walemavu na afya ya akili. 😊
😁KItu nimegundua mkuu hata wanaoita wenzao wendawazimu unakuta wao ni wahanga vile vile bila kujijua,

Its a serious matter aisee
 
sasa kama wengi humu ni anonymous, from what someone ana share huwezi jua kama ana changamoto ya afya ya akili au hana. Nyie mnao assess watu from what wana share humu ndio mna changamoto ya afya ya akili. Wengi wanachagua cha ku share humu and how to behave, muache kuchukulia mambo serious.
Mkuu uliwahi kusomea mambo yaafya ya akili ? Umeongea kitaalamu sanašŸ¤”
 
Huwa naona mambo kuhusu tomato tu.Hivi huwa ina maana gani?
Kutoka kwa Samia2030 ""Siku moja nilikwenda kumnunulia chips kwa sababu anazipenda sana, na dada wa kazi hakuwepo kumpikia. Nikiwa hapo, nikamsikia mteja mmoja akisema asiwekeewe tomato kwa sababu zinawawasha watoto tundu la haja kubwa. Nilishangaa kuona kwamba hata muuza chips alikuwa analifahamu jambo hilo na hakuliona kuwa la ajabu kama mimi nilivyoliona.

Nami nikawaeleza kuhusu tatizo la mtoto wangu, wakasema huenda chanzo ni hizo tomato. Kwa kweli mtoto wangu alipenda sana kula chips zenye tomato, hata kachori na tomato. Basi nikamzuia kula tomato kwa namna yoyote ile, na tatizo likaisha.""
 
wala mkuu, me ni mpiga debe mzoefu hapa Ubungo Kibo, kwa safari za mkoani tuwasiliane.
Hii ipo kitaalamu sana

Anosognosia šŸ‘‡

Mtu anaweza kuwa na tatizo la afya ya akili lakini hana uwezo wa kutambua kwamba yeye ndiye mwenye tatizo, na badala yake huamini wengine ndio wana matatizo.
 
Tuanze na wenye IDs zaidi ya moja, wanaficha nini kama si tatizo la akili? Una fake ID lakini bado unakimbia kivuli chako kufungua nyingine kupinga u-wewe ulio kwenye ID awali-hili ni tatizo la akili.

Wanaume wenye ID na swaga za kike muwawi Hospitali ya Taifa ya Vichaa Mirembe au muende safe house Isanga.
 
Ameeen
 

Attachments

  • Screenshot_20260702-195459_Lite.jpg
    Screenshot_20260702-195459_Lite.jpg
    247.1 KB · Views: 12
Back
Top Bottom