Design Your Idea
Senior Member
- Jun 3, 2024
- 154
- 480
Inasikitisha sanaNusu ya wananchi humu wana changamoto ya afya ya akili
Ndiyo uhalisiaInasikitisha sana
Kwavile ww umepona unaona kila mtu mgonjwa
GENTAMYCINE hatuonani kabisa mwamba. Bado uko Kampala? Msalimie mwana wa Mfalme Muhoozi KainerugabaSiko hapa kutaja mtu.
Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.
Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.
Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Tilahtilah akikosa No.1 tunaandamana.Siko hapa kutaja mtu.
Ila kwa bahati mbaya katika jamii zetu ukizungumzwa afya ya akili ni kama utoto wa mamaa hivi ila kiukweli vijana wana issues sana.
Akili zimevurugwa kwa mchanganyiko wa mazito mengi sasa akiwa nyuma ya keyboard atayaachia yote bila break hana wakuongea nae mtaani, hana counselor, hana matibabu.
Sio tabia, sio utani, sio masihara, they are broken.
Kumwaga matusi na kuongea lugha zisizofaa kwa watu usiowajua huko siyo kutofautiana mawazo hiyo ni aina ya uwendawazimu.Ndo shida ya kuifanya jamii forum nafsi
Unatoa wap nguvu ya kumjaji mtu
Kisa ametoa mawazo tofauti na yako ama ametoa mawazo ambayo ww ukuyategemea.
nimesema uongo mwanetu?😅 lakin mbona sijakutajaUtani wa ngumi huu, unacho kitafuta utajutia😅
Haya we subirinimesema uongo mwanetu?😅 lakin mbona sijakutaja