Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

JF Member

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2014
Posts
7,914
Reaction score
10,793
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
 
Usije mwambia bila ushahidi; Mimi ningekuwa Na ushahidi ningemwambia; ushahidi Ni: picha, text etc

Kama hauna ushahidi usithubutu hatokuamini; mwokoe Ndugu yako; Ni jukumu lako kaka!
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Everything is fair in love and war.
 
Haya mambo magumu sana, unawezakukuta braza wako ndio sababu ya shemeji yako kufikia hayo maamuzi.

Kwa hiyo mwamba ingekua braza hajakuhangaikia isingekuuma hata kidogo?

Inabidi utulie sana, unaweza kumwambia braza wakakwaruzana kidogo na wife wake (shem) wakayamaliza na wakaendelea kuwa wote, utajificha wapi?

Hapo inategemea ukaribu wako na huyo shem, ni mtu pekee unaeweza kumwambia ila utakavyofikisha ujumbe ni wewe kuona mazingira yenu yalivyo.

Ila kutembea na mke wa rafiki unaemfaham ni kiwango kizuri cha ugaidi.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu. Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
nitumie details za uyo njemba na za broo
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Braza wako ana pepo LA uzuzu, miaka minne hajashtukia issue
 
Nimejisikia vibaya kweli. Kwani palikuwa na ulazima gani kuja kututangaza humu?
Njoo tuendeleze hamna kurudi nyuma .
Kwahiyo nyie ndio nyie? Yaani wewe ndio Chief Hangaya na huyo mwizi mwenzio ndio Jobo Nduugay.... Basi mimi mzee wa Mavieitee ntawaalika kwenye chuo changu cha uongozi kuwafunda

Shenzy zenu na robotatu
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Kuwa na ushahidi wa kutosha mchane bro ataaamua mwenyewe kuzika au kusafirisha. Kama mtu analiwa nje na kila siku wanalala naye kitanda kimoja maisha ya bro yapo hatarini sana hata wahenga walisema "huwezi kutumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja" na pia "mafahali wawili hawakai zizi moja". Ukiendelea ku-hold hiyo taarifa ya kitu ya ujinga inayoendelea itakuja kukujutisha wakati ni too late na imekuwa useless kwa wakati huo.
 
Back
Top Bottom