Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Ww kaushaa tu mkuu,mm ilishanitokeagaa nilimwona shemeji yngu akiwa na jamaa wawili watu kwa cku tofauti ,mmojaa niliwakuta live kwenye gari wanakulaa na huyo shemeji yangu ,nilijitaidi kukausha nisimwambiee bro nikaweza mwisho nikajaga kumwambiaaa dd yetu mkubwa,bwana hanaga siri saa ngp asimwambie bro ,bro akaniulizaa nikakataa kataa baadae bro akafanya uchunguzi wk mwenyewee akaja akajuaa mke wk n msaliti ,mke wake kuona mume wakee kajuaa anakujaa semaa mm ndio nilimwambiaaa mumee wakeee
 
Kwa hiyo jamaa anaona kama anapaswa kulipa fadhila kwa bro wake?

Binafsi kama anataka kumsaidia kaka yake, basi asihusike moja kwa moja, atafute hata rafiki wa bro wake ndiye amtumie kumuonya kakaye...
Kwa mimi hapo namvizia wakiwa wote ndo namchana shemeji kulingana na ushahidi nilionao hakuna ficha habali ya ndugu wa dam
 
Usije mwambia bila ushahidi; Mimi ningekuwa Na ushahidi ningemwambia; ushahidi Ni: picha, text etc

Kama hauna ushahidi usithubutu hatokuamini; mwokoe Ndugu yako; Ni jukumu lako kaka!
Bila ushahidi wataungana kumsuta kama yeye ndiye mwenye makosa.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Kamwambie huyo jamaa vilevile mwambie Shem wako aache anachokifanya ni bomu litamlipukia ndoa iote mbawa
 
Tafuta ushaidi ili iwe sapotingi evidensi kijana usije kuta unaropoka pasipo ushaidi mambo ya chumbani ni mazito sana ndugu tumia hekima sana kufikisha taarifa hii kwa braza ako
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Bora amfate bro wake amchane ukweli,yeye aamue tu.

Mwanamke malaya sio poa kuwa nae kama mke.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Mchape fimbo shemeji yako. Kwani unakaa Kwake?
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Mume atamuacha mke sababu ya uzinzi,
Huyo shemeji yako hafai hata kidogo, anatakiwa afungashe
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Amshauri jamaa ale mbususu ya shemeji kwa heshima,utakuja kunishukuru.
 
Back
Top Bottom