Barakate I have
JF-Expert Member
- Nov 16, 2021
- 736
- 664
Nyie mnanichekesha kwa kweli.Nimejisikia vibaya kweli. Kwani palikuwa na ulazima gani kuja kututangaza humu?
Njoo tuendeleze hamna kurudi nyuma .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie mnanichekesha kwa kweli.Nimejisikia vibaya kweli. Kwani palikuwa na ulazima gani kuja kututangaza humu?
Njoo tuendeleze hamna kurudi nyuma .
Kwa mimi hapo namvizia wakiwa wote ndo namchana shemeji kulingana na ushahidi nilionao hakuna ficha habali ya ndugu wa damKwa hiyo jamaa anaona kama anapaswa kulipa fadhila kwa bro wake?
Binafsi kama anataka kumsaidia kaka yake, basi asihusike moja kwa moja, atafute hata rafiki wa bro wake ndiye amtumie kumuonya kakaye...
Bila ushahidi wataungana kumsuta kama yeye ndiye mwenye makosa.Usije mwambia bila ushahidi; Mimi ningekuwa Na ushahidi ningemwambia; ushahidi Ni: picha, text etc
Kama hauna ushahidi usithubutu hatokuamini; mwokoe Ndugu yako; Ni jukumu lako kaka!
Kusomeshwa na na bro wako kunahusiana vipi na wewe kumwambia bro wako juu ya mkewe kuliwa?
Kamwambie huyo jamaa vilevile mwambie Shem wako aache anachokifanya ni bomu litamlipukia ndoa iote mbawaKuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Mhhhh!!!, Anaweza kugeuziwa kibao.Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Bora amfate bro wake amchane ukweli,yeye aamue tu.Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Mchape fimbo shemeji yako. Kwani unakaa Kwake?Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Happy new year kipenziLile dude lina sura mbaya ajabu, Lakini midume tunahangaika nalo mpaka wengine wanauana..
Mume atamuacha mke sababu ya uzinzi,Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Oh same there kipenzi...Happy new year kipenzi
Amshauri jamaa ale mbususu ya shemeji kwa heshima,utakuja kunishukuru.Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.