Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Cha kwanza tafuta ushahidi kwa gharama zozote zile kisha ficha ushahidi wako wafuate kivyao waambie wakizingua mwambie bro kaoa kimeo
 
Cha kwanza tafuta ushahidi kwa gharama zozote zile kisha ficha ushahidi wako wafuate kivyao waambie wakizingua mwambie bro kaoa kimeo
Nataka nitafute jamaa akawagumanie afu awafile. Ninahasila nao
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Acha mambo hayo utaharibu familia za watu fanyaga mambo yako
 
Tafuta line ya simu ambayo imesajiliwa na mtu wa mbali sana mtumia kitochi, andaa Bonge la meseji fupi tu mwambie hata wadau wako wanajua kibao kitaa. Hii wahehe na wabena ni kawaida Mtu kumla Mke wa bestii
 
Hehehe kumbe bado unazo...si unajifanyaga umemuvu on una habari na mimi

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app

Kumbe jimbo lipo huru...
Kuna Jama yangu tunafanya nae kazi bwana...huwa anamzimika sana sana Khantwe[emoji12][emoji41]
Ila Tatizo jamaa Hajui kuongea nadhani Akikutana na Khantwe anaweza shindwa mtongoza Walai!
Yaani ananihadithia yule dada wa JF anaitwa Khantwe mmmmmsss acha tuuu halafu anajushika kichwa(Paji la Uso) Kuonesha anajilaumu[emoji23]
Basi tunaoiga Story 2,3 yanaisha!
Siku moja Nikamzingua Unajua Nina Namba ya Khantwe...yuko Acha basiii halafu ananitolea Machoo anatabasam anacheka....[emoji851][emoji851][emoji851]Utasikia Hebu acha utani...Basi tunabadili story tunapiga Za Mpira[emoji41]
 
Shetani huwa analeta maumivu kipindi kibaya sana. He hit you at a right time in a right place where it hurts the most.

Hapo kazi unayo ,pole sana
 
Mu advice.

Mfuate bro mwambie unaona ni kama kuna jambo haliko sawa kati ya shemeji yako na huyo rafiki yake ( mchepuko aa shemej yako) mwambie afuatikie nyendo zao pengine kuna kitu anaweza kugundua.

Kama kweli wana mahusiano kwa sababu ulishamtajia adui basi akifuatilia atagundua mapema sana
 
Kumbe jimbo lipo huru...
Kuna Jama yangu tunafanya nae kazi bwana...huwa anamzimika sana sana Khantwe[emoji12][emoji41]
Ila Tatizo jamaa Hajui kuongea nadhani Akikutana na Khantwe anaweza shindwa mtongoza Walai!
Yaani ananihadithia yule dada wa JF anaitwa Khantwe mmmmmsss acha tuuu halafu anajushika kichwa(Paji la Uso) Kuonesha anajilaumu[emoji23]
Basi tunaoiga Story 2,3 yanaisha!
Siku moja Nikamzingua Unajua Nina Namba ya Khantwe...yuko Acha basiii halafu ananitolea Machoo anatabasam anacheka....[emoji851][emoji851][emoji851]Utasikia Hebu acha utani...Basi tunabadili story tunapiga Za Mpira[emoji41]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huyo rafiki yako anateseka bure mwambie aje nimpe picha yangu aondoe hiyo aliyonayo kichwani kwake

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
😅😅😅 Wakati mwingine ni ngumu kuachana na Malaya
 
Back
Top Bottom