Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Brother nimekuelewa mnoo...Nalijua hilo
Ndio Maana nikasema Demi atafaidi sanaa kila Eneo.
Brother hapa Mjini Uko vema mnoo!
1.Handsome
2.Pochi uko Vema Mnoo
3.Mcheshi Hupendi Makuu
4.Huwa Unapenda Kufurahi....Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2014 nadhani Tuliwahi Kukutana Sehemu Na Kina Mpembuzi,Madame B,Paloma pale Maananyamala nadhani,Ukiwa Umepaki Gari yako Kali Pick up ford New Model...
Daa nikasema Mkuu ningekuwa na Dada ningekupa bure kaka!
Pale Mezani kila Mtu alikuwa anakusifia tuu Kaka!
Ndio Maana Nassma Huyu Demi atakula mema ya Nchi sanaa kama akijisalimisha 100Kwako. Na Tuisheni umpe[emoji12]
Kaka Sioni wakushindana na wewe hapa Mjini Dar es salaam.Nasema HAKUNA.
Cc: Warembo wa JF
Chawa Kama Chawa 😅 sema kwa hizi shobo za malaya wa jf mwamba lazma awe na uspesheli flani na mtu wa LG kwa sana..
 
Amini usiamini atakuwa hajastuka. Hakuna mwanaume anayejua mke wake analiwa na mtu akakaa asifanye kitu.

Kuna jamaa yetu mkewe alikuwa analiwa kila mtu anajua. Tukahisi na jamaa anajua. Siku moja kimasihara mshkaji akamwambia jamaa "we lakini una moyo, unamwachiaje jamaa anakugegedea kirahisi hivi?" Jamaa akastuka na kutaka kujua. Watu wakampa makavu

Hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa mkewe kulala chini ya paa la nyumba yake na yule mwizi kuishi kwenye ule mtaa
Si mchezo
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Ndio maana katika dini ya kiislamu jambo hilo linataka ushahidi wa kina, wawe watu watatu na waone kisu kinaingia katika ala yake kama unao ushahidi huo wambie hao walengwa pili ndoa ni jambo kubwa sana unaweza kuwa sababu ya wewe kuvunja ndoa ya watu na ukajuta ukija kumwambia shemegi ako anakubadilishia kibao kwa kaka ako kwamba wewe unamtaka na kunvunjia heshma yake na hapo hutoishi tena na kwa nini unachunguza mambo ya watu angalia mambo yako ,pengine kaka ako mwenyewe anajua anajifanya kama haoni ,bro majumba yana siri sana ndio usome hivyo becarefull na nyumba ya mtu au ndoa ya mtu utakuja kujuta zipo njia za kistarabu ukawambia wote wawili hapo unapo wafuma lkn uwe na mashahidi ukiwa peke yako basi jua italala kwako.
 
Bro nitamwambia atembee salama..atumie Kinga au aongeze mke wa pili.
Ama nimewaza tumia mbinu za Nyerere zile za kujifanya umeoteshwa jambo flani kumbe kaona kwenye TV habari za ulaya huko. Muweke kakaako kwenye fumbo tu.😅 Siku akija kubumbuluka kunakuwa hamna lawama.

Ni kumwambia tu braza nimepata ndoto flani haiashiri jambo zuri kuwa makini sana na shemeji ile ndoto sio nzuri. Nimeota shemeji analiwa na mtu tena unayemfahamu na ndoto hii ni zaidi ya mara moja.
 
tulifumaniana na shem kwenye lodge moja kabambiwa kabisa live.
nikapita nikatokea mlango wa pili nikatimua.
Bro hajajua mpaka anakufa.
 
Ama nimewaza tumia mbinu za Nyerere zile za kujifanya umeoteshwa jambo flani kumbe kaona kwenye TV habari za ulaya huko. Muweke kakaako kwenye fumbo tu.😅 Siku akija kubumbuluka kunakuwa hamna lawama.

Ni kumwambia tu braza nimepata ndoto flani haiashiri jambo zuri kuwa makini sana na shemeji ile ndoto sio nzuri. Nimeota shemeji analiwa na mtu tena unayemfahamu na ndoto hii ni zaidi ya mara moja.
Mhh hii kiboko mara bro wako atakuona una maruhani 4 yrs brother hajashtukia kuna kitu hapo sio bure kikulacho kiko nguoni mwako ushahidi ushahidi ushahidi ni muhimu sana sana.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Ni rahisi sana kumfikishia ujumbe, we mwambie huyu mshikaji wako km simuamini vile, kuwa naye makini na fanya uchunguzi wako kwa ukaribu sana. Akiuliza kwanini mwambie ni hisia zako tu zinakutuma.
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Ongea na shemeji mwambia unajua upambavu anao ufanya
 
Katika maisha ya kawaida ya kila siku hakuna kitu kibaya kama kufuatilia maisha ya watu.Inakutesa sana.Na hata ukajua kwa bahati mbaya ama nzuri IGNORE as long as haikuathiri achana nayo hayakuhusu.

Hints:Ili uishi muda mrefu zingatia;
1.Usihangaike na simu ya mpenzi/mke/mume.
2.Usijihusishe na maisha ya watu.
 
Una uhakika kaka yako hajui? Vipi kama kaka uwezo wa kula mbususu hana kamuomba huyo rafiki yake amnusuru?
 
Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.

Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.

Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?

Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.
Na unavyo zidi kuchelewa ndivyo utamu unavyo zidi kumnoga shemeji yako 😂😂😂

Kwan bro wako ameoa huyo Dada ? Au ndio kajivutia na kujiservia ?

Je Wana watoto ?

Hayo ni maswali kadhaa lkn kwa kitendo anachokifanya shemej yako hakivumilik ww PASUA JIPUUU mwambie bro wako
 
Nimeoa tena kwa ndoa. na wana watoto wa tatu.
 
Back
Top Bottom