Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Brother nimekuelewa mnoo...Nalijua hilo
Ndio Maana nikasema Demi atafaidi sanaa kila Eneo.
Brother hapa Mjini Uko vema mnoo!
1.Handsome
2.Pochi uko Vema Mnoo
3.Mcheshi Hupendi Makuu
4.Huwa Unapenda Kufurahi....Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2014 nadhani Tuliwahi Kukutana Sehemu Na Kina Mpembuzi,Madame B,Paloma pale Maananyamala nadhani,Ukiwa Umepaki Gari yako Kali Pick up ford New Model...
Daa nikasema Mkuu ningekuwa na Dada ningekupa bure kaka!
Pale Mezani kila Mtu alikuwa anakusifia tuu Kaka!
Ndio Maana Nassma Huyu Demi atakula mema ya Nchi sanaa kama akijisalimisha 100Kwako. Na Tuisheni umpe[emoji12]
Kaka Sioni wakushindana na wewe hapa Mjini Dar es salaam.Nasema HAKUNA.
Cc: Warembo wa JF
Aisee umenikumbusha mbali sana. Natamani nikukumbuke... umebadili ID?
 
Sasa nini kimekudamsha mapema, wakati nataka upumzike afya ikae sawa?

Mbona sio mapema😃😃😃
Nikilala zaidi ya hapa si utaamka na njaa ukose hata breafast jamani! Au unatafuta kisingizio cha kwenda kunywa supu bar😆😆😆
 
Back
Top Bottom