Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Kuna Jamaa anamla Shemeji yangu

Nimeoa tena kwa ndoa. na wana watoto wa tatu.
Sasa mkuu kama shemeji yako amekuwa ni chakula kiasi cha kuliwa na huyo jamaa, si na wewe umle tu!

Au mwenzetu huna njaa kama ya huyo jamaa anaye mla?
 
Chawa Kama Chawa [emoji28] sema kwa hizi shobo za malaya wa jf mwamba lazma awe na uspesheli flani na mtu wa LG kwa sana..

Mkuu[emoji12][emoji12][emoji851][emoji851][emoji3] Stanii Kaka...Huyu Mwamba ni bonge la Handsome,Na Sio Mbahiri huwa namuona anatoa tuu Iwe Offer au Hata Warembo wakimuomba anawapa na Sometimes huwa anasahau kabisa kama ameshatoa...Mpaka mashosti wa Warembo wanaambiana sio Alishakupa wewe[emoji41]....Kiukweli He is Very Humbled,Gentleman!Hana Makuu
Ila Apunguze kubadili magari daa,Nimenote anayo kama 6hivi,Kingine bro Punguza kuazimisha kaka...
Ndio maana Hakuna Mrembo aliemuacha asirudi kamwe...mrembo yeyote Asiporudi huwa anajuta sanaaaa hili nimekishuhudia kaka[emoji12]
Cc: Asprin
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya

Mpaka sasa hana mke mzeee.
 
Kinachomuuma jamaa mpaka akaja kuanzisha uzi huku ni shemela na kakaake wanatumia staili moja tu kifo cha mende ila kwa yule mjuba ni mwendo wa dog style.
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Ushauri mbovu huu khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waachie ndoa yao, wee hayakuhusu hata. Acheni choko choko ktk ndoa za watu lol.
 
Kwenye maisha ya wapenzi au wanandoa kuna mambo mengi sana......inatakiwa busara na hekima za hali ya juu sana kuyaingilia mambo yao.........

Umenikumbusha kisa hiki Cha aliyewahi kuwa rafiki yangu......

Huyu ndugu alikuwa ni mtu mwenye uwezo kifedha......kwa kifupi nilikuwa nashuhudia uhusiano wa ajabu baina ya shemeji yangu( mke wa huyo rafiki) na kijana mmoja wa pale mtaani kwetu ambapo kwa akili ya kiutu uzima utakuwa unaelewa nini kinaendelea baina yao...........

Kwa upendo na uchungu dhidi ya rafiki yangu kipenzi nikajitahidi kukusanya ushahidi usio na shaka........nikaandaa mazingira ya kiutu uzima mpaka nikajiridhisha kuwa sasa naweza kumpa habari hii chungu rafiki yangu.......

Kinyume Cha matatajio yangu na mshangao mkubwa yule rafiki yangu hakuonyesha kushangazwa na habari Ile kabisa...lakini ikabidi aniambie jambo ambalo lilinifanya mpaka leo nisiingilie kabisa mambo ya ndoa za watu........kwa kifupi yule ndugu hana uwezo wa kumpa mkewe haki yake ya ndoa na wana mwaka wa tano hajui tupu ya mkewe inafananaje ndio maana anakosa mamlaka ya kukemea matendo ya mkewe hali ya kuwa anayajua.........Ile taarifa ilinishtua sana lakini pia nilimhurumia rafiki yangu kama mwanaume najua ndugu yangu anapitia Hali ngumu kias gani.......

Niliondoka kwa huzuni lakini nilikuwa najua kuwa ndugu yangu hana muda mrefu wa kuishi hapa duniani.........baada ya miezi saba baada ya kikao kile yule rafiki alianza kuugua presha na sukari na mawiki kadhaa akaaga Dunia...............

.........NDOA ZINA MAMBO MENGI SANA......
Ila uliaibika kwa Umbea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Itategemea ukaribu wako na Bro ingekuwa mimi ningesoma upepo kama Bro ame relax na familia yake na mimi ningekausha tu. Heri nusu shari kuliko shari kamili.
 
Amini usiamini atakuwa hajastuka. Hakuna mwanaume anayejua mke wake analiwa na mtu akakaa asifanye kitu.

Kuna jamaa yetu mkewe alikuwa analiwa kila mtu anajua. Tukahisi na jamaa anajua. Siku moja kimasihara mshkaji akamwambia jamaa "we lakini una moyo, unamwachiaje jamaa anakugegedea kirahisi hivi?" Jamaa akastuka na kutaka kujua. Watu wakampa makavu

Hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa mkewe kulala chini ya paa la nyumba yake na yule mwizi kuishi kwenye ule mtaa
Acha kujidanganya wee ndoa zina mambo mengi, mtakuja muumbuke buree, shauri zenu lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Katika maisha ya kawaida ya kila siku hakuna kitu kibaya kama kufuatilia maisha ya watu.Inakutesa sana.Na hata ukajua kwa bahati mbaya ama nzuri IGNORE as long as haikuathiri achana nayo hayakuhusu.


Hints:Ili uishi muda mrefu zingatia;
1.Usihangaike na simu ya mpenzi/mke/mume.
2.Usijihusishe na maisha ya watu.
Ubarikiwe sana wee mtu, na umeongea jambo zuri na la busara.
Kiufupi ndo ukweli wenyewe.
 
Kinachimuuma jamaa mpaka akaja kuanzisha uzi huku ni shemela na kakaake wanatumia staili moja tu kifo cha mende ila kwa yule mjuba ni mwendo wa dog style.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.

Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Babu eeh..

Umeiweka kitaalamu sana.
 
Ila uliaibika kwa Umbea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli niliona aibu.....lakini pia ilinijia huruma.....tangu hapo nimeamua kukaa mbali na mambo ya wanandoa....hata kama ni ndugu yangu wa karibu.....
 
Back
Top Bottom