Yaani huyu bro wako ana ndugu mjinga sana. Yaani shemeji anagegedwa wee unawaza eti nimwambie au nisimwambie bro...acha undezi wewe hapo ni kumwambia bro huyu mwanamke hafai acha nae. Bora mtu umwambie nilikwambia kuliko mie nilijua yatatokea haya....huo unafiki.Kuna jamaa mmoja anamla Shemeji yangu.
Nimeshamshuhudia mara Mbili. Afu jamaa ni mtu wa karibu na bro Ile mbaya. Kwa tetesi ni kwamba, huu ni mwaka wa nne sasa tangu wagundulike. Nashindwa kumwambia bro maana sijui atalichukuliaje.
Nimfanyeje ili waache nami niwe na furaha?
Maana najisikia vibaya nikizingatia bro alivyonihangaikia mimi kusoma.