Sasa mkuu kama shemeji yako amekuwa ni chakula kiasi cha kuliwa na huyo jamaa, si na wewe umle tu!Nimeoa tena kwa ndoa. na wana watoto wa tatu.
Hahahahahmuacheni shemela achakatwe make atakufa nayo 😁
Chawa Kama Chawa [emoji28] sema kwa hizi shobo za malaya wa jf mwamba lazma awe na uspesheli flani na mtu wa LG kwa sana..
Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Ushauri mbovu huu khaaah. [emoji23][emoji23][emoji23]Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Nashangaa hapa na mie, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kusomeshwa na na bro wako kunahusiana vipi na wewe kumwambia bro wako juu ya mkewe kuliwa?
Ila uliaibika kwa Umbea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwenye maisha ya wapenzi au wanandoa kuna mambo mengi sana......inatakiwa busara na hekima za hali ya juu sana kuyaingilia mambo yao.........
Umenikumbusha kisa hiki Cha aliyewahi kuwa rafiki yangu......
Huyu ndugu alikuwa ni mtu mwenye uwezo kifedha......kwa kifupi nilikuwa nashuhudia uhusiano wa ajabu baina ya shemeji yangu( mke wa huyo rafiki) na kijana mmoja wa pale mtaani kwetu ambapo kwa akili ya kiutu uzima utakuwa unaelewa nini kinaendelea baina yao...........
Kwa upendo na uchungu dhidi ya rafiki yangu kipenzi nikajitahidi kukusanya ushahidi usio na shaka........nikaandaa mazingira ya kiutu uzima mpaka nikajiridhisha kuwa sasa naweza kumpa habari hii chungu rafiki yangu.......
Kinyume Cha matatajio yangu na mshangao mkubwa yule rafiki yangu hakuonyesha kushangazwa na habari Ile kabisa...lakini ikabidi aniambie jambo ambalo lilinifanya mpaka leo nisiingilie kabisa mambo ya ndoa za watu........kwa kifupi yule ndugu hana uwezo wa kumpa mkewe haki yake ya ndoa na wana mwaka wa tano hajui tupu ya mkewe inafananaje ndio maana anakosa mamlaka ya kukemea matendo ya mkewe hali ya kuwa anayajua.........Ile taarifa ilinishtua sana lakini pia nilimhurumia rafiki yangu kama mwanaume najua ndugu yangu anapitia Hali ngumu kias gani.......
Niliondoka kwa huzuni lakini nilikuwa najua kuwa ndugu yangu hana muda mrefu wa kuishi hapa duniani.........baada ya miezi saba baada ya kikao kile yule rafiki alianza kuugua presha na sukari na mawiki kadhaa akaaga Dunia...............
.........NDOA ZINA MAMBO MENGI SANA......
Acha kujidanganya wee ndoa zina mambo mengi, mtakuja muumbuke buree, shauri zenu lol[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Amini usiamini atakuwa hajastuka. Hakuna mwanaume anayejua mke wake analiwa na mtu akakaa asifanye kitu.
Kuna jamaa yetu mkewe alikuwa analiwa kila mtu anajua. Tukahisi na jamaa anajua. Siku moja kimasihara mshkaji akamwambia jamaa "we lakini una moyo, unamwachiaje jamaa anakugegedea kirahisi hivi?" Jamaa akastuka na kutaka kujua. Watu wakampa makavu
Hiyo ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa mkewe kulala chini ya paa la nyumba yake na yule mwizi kuishi kwenye ule mtaa
Ubarikiwe sana wee mtu, na umeongea jambo zuri na la busara.Katika maisha ya kawaida ya kila siku hakuna kitu kibaya kama kufuatilia maisha ya watu.Inakutesa sana.Na hata ukajua kwa bahati mbaya ama nzuri IGNORE as long as haikuathiri achana nayo hayakuhusu.
Hints:Ili uishi muda mrefu zingatia;
1.Usihangaike na simu ya mpenzi/mke/mume.
2.Usijihusishe na maisha ya watu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kinachimuuma jamaa mpaka akaja kuanzisha uzi huku ni shemela na kakaake wanatumia staili moja tu kifo cha mende ila kwa yule mjuba ni mwendo wa dog style.
Babu eeh..Mfuate jamaa mwambie nimejua unamla shemeji yangu. Baadae mfuate shemela mwambie ninajua unaliwa na fulani.
Wakiendelea basi jua blaza hana mke... unamwambia live aachane na huyo malaya
Kweli niliona aibu.....lakini pia ilinijia huruma.....tangu hapo nimeamua kukaa mbali na mambo ya wanandoa....hata kama ni ndugu yangu wa karibu.....Ila uliaibika kwa Umbea, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shem nataka tukalane na sisi.Happy new year kipenzi
Long time nakuvizia..njoo basi shem darlingShem nataka tukalane na sisi.
Hebu Fungua PM.Long time nakuvizia..njoo basi shem darling