Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

Yaani kuongezwa tu nikajua ukinunua mchele kilo moja anakuongeza na robo kumbe genge
Hayo mafungu huwa anapunguza ili akuongeze uone amekuthamini maskini ya Mungu unawaza mengine
 
Yaani kuongezwa tu nikajua ukinunua mchele kilo moja anakuongeza na robo kumbe genge
Hayo mafungu huwa anapunguza ili akuongeze uone amekuthamini maskini ya Mungu unawaza mengine
Unajua ni kiasi gani na ni marangapi?
 
Wewe ndiye mwenye shida.
Moja ya sifa kuu ya kuitwa mwanaume ni Confidence/Kujiamini. Hiyo ndiyo hulka ya kiume. Na wewe umekosa.
Yani kuongezwa tu bidhaa sokoni tayari ushaanza kushtuka na kuhisi mwanaume mwenzio anakupenda au anataka kukutongoza. Tabia ya kike sana hiyo,
 
Aseme mara ngapi dear? Ni hivi mabazazi ya JF hawaja muelewa.
Pa1 na kujinadi ye mzuri na picha akaweka, lakini waja wamegoma kumpa anachohitaji.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajisikiaje kuongea uongo, mtoto wakike sura imekuparama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…