Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
My man alisoma, kanikataza kujihusisha kwenye nyuzi za huyu kichaa wa mirembe. Hata hapa akiona ninatakiwa kujieleza kwanini nimejibu kwenye uzi wa huyu dada/kaka. Msinitag huku tena, ahsante.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usiogope anania njema.
Vipi unahisi unamvutia labda?
 
Kapenda kiuwa hiko sheikh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…