Kuna jamaa kila nikinunua kitu kwake, ananiongeza, nashindwa kumuelewa kabisa

Hapana aseeh saa hz mtaani kugumu hata sikumbuk Nivea for men nilichukua lini last time,

Kujiweka sawa ni vzr Ila nature ya kazi zetu wengine ni changamoto coca
Kazi ipi hiyo? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Uongoo!!
 
Kwaiyo unahisi anataka kukutatua rinda??

Uko so insecure bro!
Ili mradi we hujamuomba na huchukui bidhaa bure JIAMINI MKUU
 
We chakufanya nunua daftari kish andik kila nyongeza na gharama yake na uandae akiba kwa kibubu cha nyongez ili siku akikuambia anakudai milion 1 na anatak umlipe usiseme "mi achoka"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…