Kuna jamaa yangu alikua USAID akawa ananifungia vioo, leo kanitumia ujumbe kama nina mchongo wowote nimpasishie

Kuna kitu watu hawajui, ukiona mtu amerudi kwa mtu aliyedhani hatomsaidia chochote kwenye maisha yake ili kumtaka msaada, huyo ni Mungu/Asili inafanya kazi yake.

Chunga sana usiwe kama alivyokuwa au ukafanya kama alivyokufanyia (usifanye kisasi), kama huwezi kumsaidia piga kimya, fanya yako bila kusumbua mende yeyote wala kunguni.

# Asili haina makuzi.
 
That's how most human beings are nowadays !! Once you know this, you'll learn to structure your life accordingly !! Most people you meet in this era are fake, opportunists, and pretenders !! (It's full UNAFIKI) !!
 
Mwambie mchongo upo kwa P.DIDDY.
 
Acheni watu wateseke Kwa amani

Msitusimange
 
Mkuu ni kama umefurahia jamaa kushuka daraja πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
VIzuri sana kwa kuwa hivyo ulivyo mkuu, Mungu atakufanikisha sana na hasa hizi siku za mwisho maana kwa jinsi roho yako ilivyo Mungu atakutumia sana katika hizi siku zilizobaki kabla hajashusha ghadhabu yake duniani.
 
Piga chini
 

Ukiwa na mchongo mpatie. Maisha ni kusaidiana
 
Wacha ujinga,uniletee roho mbaya harafu nikuchekelee? 🀣🀣🀣
 
Hebu mlime block kwanza, pumbavu zake
 
Alikukomesha Kwa sababu haiwezekani mtu anakufanyia mtima nyongo harafu unaendelea kumuweka karibu akijifanya Malaika πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…