kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Mzee kikwete aliwalemaza akili katika awamu yake,Ualimu ndio ilikuwa ajira yake kuuSisemi kwa ubaya ila muache kusomea ualimu kwa sababu nafasi Sana Sana zinatolewa serikalini .na waliosoma ualimu Ni wengi mno
Kijana aliyesoma let's say Business administration, public relations nk aliye mtaani Ana chance kubwa ya ajira kuliko wa Education
Yani serikali kwa Sasa kupitia TCU ingeacha kuruhusu watu kusomea ualimu, vijana wamejaa Sana mtaaniMzee kikwete aliwalemaza akili katika awamu yake,Ualimu ndio ilikuwa ajira yake kuu
Ni bora hata ana hela ya kununua kvant. Aendelee na mbishe hizo hizo zilizomwezesha kupata hiyo hela. Sio lazima akashike chaki.
Hivi ni ule ule ualimu ambao watu wakipangiwa kwenda kusoma hapo zamani walikuwa wanapiga makelele kwa huzuni na kujiapiza kuwa hataenda ng'o? Ni ule ule ualimu ambao walikuwa wanachukuwa mpaka darasa la saba kwenda kusomea wakiita UPE na kitaani Ualimu Pasipo Elimu? Ni hii hii kazi iliyokuwa inadharaulika na kila mtu na ukipita sehemu kama wewe ni mwalimu unaona aibu? Kweli maisha yanabadilika!Sisemi kwa ubaya ila muache kusomea ualimu kwa sababu nafasi Sana Sana zinatolewa serikalini .na waliosoma ualimu Ni wengi mno
Kijana aliyesoma let's say Business administration, public relations nk aliye mtaani Ana chance kubwa ya ajira kuliko wa Education
Mabadiliko Ni lazima kwny Maisha,hata zamani ilikua unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(Bikini).Hivi ni ule ule ualimu ambao watu wakipangiwa kwenda kusoma hapo zamani walikuwa wanapiga makelele kwa huzuni na kujiapiza kuwa hataenda ng'o? Ni ule ule ualimu ambao walikuwa wanachukuwa mpaka darasa la saba kwenda kusomea wakiita UPE na kitaani Ualimu Pasipo Elimu? Ni hii hii kazi iliyokuwa inadharaulika na kila mtu na ukipita sehemu kama wewe ni mwalimu unaona aibu? Kweli maisha yanabadilika!
Dah!.. hii comparison hii...πππMabadiliko Ni lazima kwny Maisha,hata zamani ilikua unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(Bikini).
Ni huo huo Mkuu,Hivi ni ule ule ualimu ambao watu wakipangiwa kwenda kusoma hapo zamani walikuwa wanapiga makelele kwa huzuni na kujiapiza kuwa hataenda ng'o? Ni ule ule ualimu ambao walikuwa wanachukuwa mpaka darasa la saba kwenda kusomea wakiita UPE na kitaani Ualimu Pasipo Elimu? Ni hii hii kazi iliyokuwa inadharaulika na kila mtu na ukipita sehemu kama wewe ni mwalimu unaona aibu? Kweli maisha yanabadilika!