Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

Wazo zuri enrollment nya education ingesitishwa hata miaka 5 kwanza

Lakini wakisitisha maprofesa,madocta,wakufunzi watafanya kazi zipi[emoji2][emoji1787]!?

Cha kufanya wapunguze rate of enrollment.
Mkuu,Mimi nadhani watajikita kufanya tafiti, kufundisha course zinazoendana,mfano communication skills inafundishwa na yeyote
 
Solution ni kupunguza umri wa kustaafu,iwe walau 45,mwalimu anaondoka anapisha damu mpya.
 
Mkuu,Mimi nadhani watajikita kufanya tafiti, kufundisha course zinazoendana,mfano communication skills inafundishwa na yeyote
Mzee vyuoni kuna faculty ya education yenye department kibao hao watu wakafanye kazi zipi.

Kufundisha comm skillz kwa hakuna hakuna wahusika.

Wapungeze tu udahili wa hizi kozi za education.some zifutwe kwa muda. Au kuunganishwa.kwa miaka 5 itapendeza ili kuwa accommodate hawa jobless.
 
Ni wazo zuri hata Mimi nashauri hivo, vinginevyo Kama Sasa Hali ipo hivi,imagine Miaka nane ijayo
Kuna nyuzi humu JF vijana wamemaliza degree mwaka 2015 na mpaka Sasa hawana kazi,wamesomea Education
 
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikua this time lazima arambe ajira.

Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Ajaribu kuwafuata wahusika kama Waziri au Katibu Mkuu moja kwa moja na kuwaeleza concern yake huenda akapata nafasi..

By the way kipaombele cha Serikali ni waajiriwa kwenye masomo ya Science,kama ni arts basi iwe English.
 
Hiki ni kipindi cha kukaa naye sana karibu. Pia ajue sio yeye tu aliyekosa hizo nafasi maisha lazima yaendelee
Naunga mkono hoja. Anahitaji msaada wa karibu sana wa ushauri.

Ni wakati sasa wa serikali kubadili mfumo wa utoaji elimu. Elimu ilenge kumkomboa mwanafunzi kutoka katika kusoma na kutegemea kuajiriwa na kuwa katika kujiajiri. Kuwepo na mazingira rafiki na wezeshi ya kumfanya mhitimu kujiajiri mara baada ya kuhitimu masomo.
 
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikua this time lazima arambe ajira.

Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Isijekuwa ni wewe mtoa mada unajaribu kujifariji 😂😂😂😂..

Hakuna haja ya kuchanganyikiwa maana kuna ajira zingine mwaka wa Fedha ujao so ataomba hizo na atapata.
 
Serikali ina upungufu wa walimu kwa nusu..

Ni suala la Serikali kuajiri kwa wingi zaidi.
Mkuu, Serikali haiajiri walimu wa kutosha kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa wote nasikia Kuna shule Zina Mwalimu mmoja anafundisha madarasa yote

Lakini pia upo sahihi japo huu ushauri wako utachukua hata Miaka 15 kufanyika
 
Ni wajibu wa Serikali kutafuta pesa na kuajiri watumishi wa kutosha wakiwemo walimu.
 
Back
Top Bottom