Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

Solution ni kupunguza umri wa kustaafu,iwe walau 45,mwalimu anaondoka anapisha damu mpya.
Then mfuko wa pension umtunze huyu mwenye nguvu kabisa kwa miaka 40 hadi 45 mingine hivi hivi?
 
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikua this time lazima arambe ajira.

Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Viti haukusikia harufu ya BOB MARLEY kweli?
 
.
images%20(25).jpg
 
Mshauri ajifunze kuendesha boda boda su bajaji.... htojutia huo uamuzi !
 
[emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Then mfuko wa pension umtunze huyu mwenye nguvu kabisa kwa miaka 40 hadi 45 mingine hivi hivi?

Vijana waajiriwe mapema wakiwa 25,miaka 20 kuwa mtumishi wa serikali inatosha kabisaa!tofauti na Sasa mtu anaitumikia serikali miaka 38😞😞.akiachiwa kashakuwa kibabu

Ajira iwe Ni sehemu ya MASKINI kupatia mitaji tuu.mfumo wa pensheni Unaweza badilishwa,mtumishi akistaaafu apewe pesa yake yote Kama mtaji.
 
Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikuwa this time lazima alambe ajira.

Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Pole mkuu itakuwa ndio wewe unajisema afu hujijui kama unajisema.Kikubwa tupambane tu kitaa sio lazima wote tuwe government employees
 
Mshauri ajifunze kuendesha boda boda su bajaji.... htojutia huo uamuzi !
Nlimaliza chuo kikuu 2014,bahati nlikua na boda boda yangu.Kumbuka kipindi hicho nimeoa nipo 2 year na sema mwenzangu alikua na ajira ila ujuzi wa boda driving ulinisave sana mahitaji na kujikimu.Sikumuonea aibu mtu kua mi boda boda.Bahati 2015 jakata akatulamba ajira 33,000 na ushee.Pambano ni muhimu
 
Sorry....Jakaya
 
Maisha ni kupambana tatizo wengi wakishamaliza chuo huwa wanaweka expectations ambazo haziendani na uhalisia wa maisha
 
Back
Top Bottom