Kuna jamaa yangu amechanganyikiwa baada ya kukosa ajira za ualimu

Jamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Inasikitisha sana. Mungu amsaidie asijitoe uhai tu.
 
Hichi kio
Jamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
born to suffer ndio hii
 
Jamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Muangalieni kwa ukaribu huyo mtu mana stress sio kitu kizuri kabisa.
Asije akafanya msiyoyatarajia.
 
Yani serikali kwa Sasa kupitia TCU ingeacha kuruhusu watu kusomea ualimu, vijana wamejaa Sana mtaani
Wazo zuri enrollment nya education ingesitishwa hata miaka 5 kwanza

Lakini wakisitisha maprofesa,madocta,wakufunzi watafanya kazi zipi[emoji2][emoji1787]!?

Cha kufanya wapunguze rate of enrollment.
 
Back
Top Bottom