Inasikitisha sana. Mungu amsaidie asijitoe uhai tu.Jamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
born to suffer ndio hiiJamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Muangalieni kwa ukaribu huyo mtu mana stress sio kitu kizuri kabisa.Jamaa kamaliza chuo since 2015,matarajio yake yalikua this time lazima alambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Mabadiliko Ni lazima kwny Maisha,hata zamani ilikua unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(Bikini).
Ashkum sio matusi, Mkuu una misemo ya kifedhuli sana [emoji23][emoji23][emoji23]Mabadiliko Ni lazima kwny Maisha,hata zamani ilikua unafunua chupi unakutana na tako ila siku hizi unafunua tako unakutana na chupi(Bikini).
Mleta mada taaluma yake ni mambo ya fedha kwahiyo yawezekana hii taarifa inamhusu rafiki yake.Huu ni uongo,sema tu umekosa usaidiwe connection zipo
Bislaamal sana huyu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah nimecheka kifala!
Kuna mmoja nipo nae hapa kakosa.Sizan kama kuna MD afya amekosa kaz, koz za afya naona zina fursa zaidi.
Wazo zuri enrollment nya education ingesitishwa hata miaka 5 kwanzaYani serikali kwa Sasa kupitia TCU ingeacha kuruhusu watu kusomea ualimu, vijana wamejaa Sana mtaani