Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Mkuu,Mimi nadhani watajikita kufanya tafiti, kufundisha course zinazoendana,mfano communication skills inafundishwa na yeyoteWazo zuri enrollment nya education ingesitishwa hata miaka 5 kwanza
Lakini wakisitisha maprofesa,madocta,wakufunzi watafanya kazi zipi[emoji2][emoji1787]!?
Cha kufanya wapunguze rate of enrollment.
Wazo zuri enrollment nya education ingesitishwa hata miaka 5 kwanza
Lakini wakisitisha maprofesa,madocta,wakufunzi watafanya kazi zipi[emoji2][emoji1787]!?
Cha kufanya wapunguze rate of enrollment.
Mzee vyuoni kuna faculty ya education yenye department kibao hao watu wakafanye kazi zipi.Mkuu,Mimi nadhani watajikita kufanya tafiti, kufundisha course zinazoendana,mfano communication skills inafundishwa na yeyote
Ni wazo zuri hata Mimi nashauri hivo, vinginevyo Kama Sasa Hali ipo hivi,imagine Miaka nane ijayoMzee vyuoni kuna faculty ya education yenye department kibao hao watu wakafanye kazi zipi.
Kufundisha comm skillz kwa hakuna hakuna wahusika.
Wapungeze tu udahili wa hizi kozi za education.some zifutwe kwa muda. Au kuunganishwa.kwa miaka 5 itapendeza ili kuwa accommodate hawa jobless.
Ajaribu kuwafuata wahusika kama Waziri au Katibu Mkuu moja kwa moja na kuwaeleza concern yake huenda akapata nafasi..Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikua this time lazima arambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Naunga mkono hoja. Anahitaji msaada wa karibu sana wa ushauri.Hiki ni kipindi cha kukaa naye sana karibu. Pia ajue sio yeye tu aliyekosa hizo nafasi maisha lazima yaendelee
Solution ni kupunguza umri wa kustaafu,iwe walau 45,mwalimu anaondoka anapisha damu mpya.
Isijekuwa ni wewe mtoa mada unajaribu kujifariji 😂😂😂😂..Jamaa kamaliza chuo since 2015, matarajio yake yalikua this time lazima arambe ajira.
Surprisingly hajaona jina lake.
Alichofanya amenunua k-vant chupa kubwa kajifungia ghetto kwake huku kafungulia mziki mkubwa wa reggae.
Serikali ina upungufu wa walimu kwa nusu..Yani serikali kwa Sasa kupitia TCU ingeacha kuruhusu watu kusomea ualimu, vijana wamejaa Sana mtaani
Hapana labda miaka 55 badala ya 60 nadhani huenda hili likaangaliwa sio mda.Solution ni kupunguza umri wa kustaafu,iwe walau 45,mwalimu anaondoka anapisha damu mpya.
Mkuu, Serikali haiajiri walimu wa kutosha kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa wote nasikia Kuna shule Zina Mwalimu mmoja anafundisha madarasa yoteSerikali ina upungufu wa walimu kwa nusu..
Ni suala la Serikali kuajiri kwa wingi zaidi.
Ni wajibu wa Serikali kutafuta pesa na kuajiri watumishi wa kutosha wakiwemo walimu.Mkuu, Serikali haiajiri walimu wa kutosha kwa sababu haina uwezo wa kuwalipa wote nasikia Kuna shule Zina Mwalimu mmoja anafundisha madarasa yote
Lakini pia upo sahihi japo huu ushauri wako utachukua hata Miaka 15 kufanyika
Hiki ni kipindi cha kukaa naye sana karibu. Pia ajue sio yeye tu aliyekosa hizo nafasi maisha lazima yaendelee
Tumekosa wengiHajakosa peke yake, hivyo asife moyo aache maisha yaendelee!