Kuna jamaa yangu ameenda kwa mganga ili kuwekwa sawa kwa ajili ya kupata hizi kazi za TRA.

Alikushirikisha na akakuambia iwe Siri ila we umesema humu kwann??
 
Najiuliza kwa sauti,hivi elimu yake inamsaidiaje?,huu ni upungufu mkubwa wa fikra,na huyo jamaa lazima ataendelea kuwa teja wa huyo mganga, maana atamwambia kuna ku expire, lazima aje ku renew kila baada ya mda fulani,hatimae atashindwa hatakufanya,mwisho wake ni kibarua kuota nyasi, shirki ni ulevi mbaya sana kupita ulevi mwingine wowote.
 
Ubatili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…