Kuna jambo ambalo sisi wananchi tumeikosea Serikali yetu? Tuambiwe tujue

Serikali inayokumbatia wafanyabiashara na kuwakandamiza wananchi wa upande mmoja wa jamhuri ya Muungano.

Sisi watanganyika maisha yetu yanafanywa magumu sana ilhali wazanzibari wakinufaika na kila hali ya upendeleo.

Je awamu hii ipo kimkakati kuhakikisha kuwa Tanganyika tunakua mafukara??
 
Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake.
Ukinikuna nitakukuna na kukupapasa.
Ukiona mwanamke mrembo ameolewa na jitu jeusi ujue Kuna kitu ametuata (maadili mema).
Kila kitu kitapanda Bei.
Au namna gani wajameni alisikika Uhuru akisema
 
Nilivyo sikia kila mtu ale kwa kamba yake nikajua tumepigwa nakitu kizito kichwani
 
Na katiba mpya hutaki na uko busy kuwaita wapinzani wahuni, tulia sindano ikuingie
 
Kwani maisha magumu kwa mtanzania imeanza leo?

Ova
 
Serikali la CCM ni la ovyo sana, akirudi mkoloni itakuwa bora zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…