Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Vikosi vya usalama vimejazana Zanzibar kupambana na RAIA wasiokuwa na silaha, maajabu kweli aisee
 
Maafande wetu wana mpango wa kufanya usafi kesho nchi nzima.
 
Hao wanaleta taharuki kwenye nchi yetu kuuwa watu, halafu wakisagwa na vyombo vya ulinzi kuna watu wanalalamika.
vyombo vya ulinzi viwasage wasagike iwe fundisho.
Nani watalalamika hawa jamaa wakisagwa?? walawakubalwu au kina nani?
 
Dah jihadi alimaliza muhamad??Acha uongo na upotoshaji.
Jihadi ndo tendo jema kuliko yote katika uislam na muhamad alisema yuko tayari kuiacha mbingu ili arudi duniani kuua watu ili afe aende mbinguni ili arudi tena duniani kupigana jihad mpaka afe aende mbinguni ili arudi tena kupigana.
Hata kina mtume walivamia vijiji na kubaka watu
 
Ni magaidi kweli au askari wa Mozambique ndio wamefanya huo uhalifu ili serikali ya Tanzania iwasaidie katika mapambano yao?
 
Ngoja tuone
Hata hutatangaziwa walichofanya na wanachoendelea kufanya, JW huwa hawana kasumba hiyo...

Hesabu miezi mitatu kuanzia sasa, hizo vurugu huko hutasikia tena...

Mwizi raha kumfukuza kimya kimya kama wafanya jogging vile
 
Kwani kibiti iliposumbuliwa na magaidi kwa muda mrefu hiyo ilikuwa na maana kuwa Tanzania inafuga magaidi?
Tanzania haijawahi kusumbuliwa kwa muda mrefu, ilikuwa ni siku chache tu tuwatokomeza na wakakimbili Msumbiji amabapo wanafugwa hadi leo hii..
 
Ati..?[emoji848]
 
Mhhhh, hapa nina mashaka na Ben Pol. Naomba polisi wamtafute huyu dogo na Mze Yusuf wawaulize maswali usiku wa jama walikuwa wapi na kusachi nyumba zao.
 
Naskia aliye chinjwa ni mwanajeshi wa Tz kuna ukweli?
 
Kweli tena tuna mega na eneo kutoka msumbiji maana wenye nchi wameshidwa kuendesha nchi yao.
 
The Seventh Largest City in Tanzania, hii ni kweli? Kwa maoni yangu, miji mikubwa ni:

1. DSM
2. MWANZA
3. ARUSHA
4. TANGA/DODOMA/MBEYA
5.DODOMA/TANGA/MBEYA
6. MBEYA/TANGA/DODOMA
7. MOROGORO/MOSHI/MTWARA/IRINGA/TABORA.
Sasa kuanzia namba 4 hadi 7 ni ngumu sana kujua nani kamzidi nani
 
Raha ya kuwa nyuma ya keyboard.
Unajuaje.... Labda jamaa ni hacker anaweza hack base ya kijeshi ya marekani halafu akaiba drones, akazipeleka hapo msumbiji akawachakaza jamaa chap......
 
Mbeya ingekuwa namba5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…