Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Vikosi vya usalama vimejazana Zanzibar kupambana na RAIA wasiokuwa na silaha, maajabu kweli aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.Jamani poleni sana wana Mtwara,tusuburi viongozi wetu wa Serikali
Nani watalalamika hawa jamaa wakisagwa?? walawakubalwu au kina nani?Hao wanaleta taharuki kwenye nchi yetu kuuwa watu, halafu wakisagwa na vyombo vya ulinzi kuna watu wanalalamika.
vyombo vya ulinzi viwasage wasagike iwe fundisho.
Dah jihadi alimaliza muhamad??Acha uongo na upotoshaji.Hata wao ni woga tu, kama unavamia kijiji chenye watu 200 mnakwenda magaidi zaidi ya 300 halafu mnajisifia kuua wasiokukosea kwa kisingizio cha kumpigania Allah, huku mnaiba fedha chakula, mnabaka, na kulawiti hakuna dini ya hivyo watoto hao wamejengewa saikolojia ya uwongo wakifa wanadhani kweli wana malipo kwa Allah kumbe ni Al-khawariji tu, wote watalipishwa uovu wao hakuna hata wa kuiona pepo hapo, na watu wakiacha ujinga wakaamua kuungana na kuwafurusha watakwisha kma walivyokimbia Somalia na Kenya, ishu ni watu kuacha kuwaogopa hata wao wanaogopa pia ndio maana wakata binadaam vichwa ili kuzidi kutishia watu wawaogope, wakibananishwa vizuri nao sisi wakristo tukaungana tutawakata nao vichwa kama wanavyotishia, waache kutumia dini kuiba mali na wake za watu, jihadi ilikwishamalizwa na Nabii Muhammad, hawa ni wezi tu, Umoja ni ushindi.
Hata hutatangaziwa walichofanya na wanachoendelea kufanya, JW huwa hawana kasumba hiyo...
Hesabu miezi mitatu kuanzia sasa, hizo vurugu huko hutasikia tena...
Mwizi raha kumfukuza kimya kimya kama wafanya jogging vile
Tanzania haijawahi kusumbuliwa kwa muda mrefu, ilikuwa ni siku chache tu tuwatokomeza na wakakimbili Msumbiji amabapo wanafugwa hadi leo hii..Kwani kibiti iliposumbuliwa na magaidi kwa muda mrefu hiyo ilikuwa na maana kuwa Tanzania inafuga magaidi?
Yaani tunakoelekea hatutakuwa tofauti na Uganda, Rwanda,na ma nchi mengine ambayo marais wake wanatawala maisha.Msitegemee huyo dictator uchwara atarudisha mtandao na huku mnataka kuandamana, tunzeni VPN Zenu vizuri. Na 2025 Anagombea tena tusipomfunga brake now.
Dah jihadi alimaliza muhamad??Acha uongo na upotoshaji.
Jihadi ndo tendo jema kuliko yote katika uislam na muhamad alisema yuko tayari kuiacha mbingu ili arudi duniani kuua watu ili afe aende mbinguni ili arudi tena duniani kupigana jihad mpaka afe aende mbinguni ili arudi tena kupigana.
Hata kina mtume walivamia vijiji na kubaka watu
Nitafurahi sana tukiwa kama Rwanda ili watz wapate akili kidogo za kujitambua baada ya kubinywa vya kutosha.Yaani tunakoelekea hatutakuwa tofauti na Uganda, Rwanda,na ma nchi mengine ambayo marais wake wanatawala maisha.
Mhhhh, hapa nina mashaka na Ben Pol. Naomba polisi wamtafute huyu dogo na Mze Yusuf wawaulize maswali usiku wa jama walikuwa wapi na kusachi nyumba zao.Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.
Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini.
Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea kurindima.
Nimepatiwa taarifa hii na mkazi mmoja akiwa huko mafichoni na familia yake.
Nitaendeea kuwajuza kadri nipatavyo taarifa.
Tuwaombee.
Update 1:
View attachment 1602008
View attachment 1602010
UPDATE:
Tanzania border village attack 'leaves 20 dead' - BBC
Mozambique: Suspected militants attack Tanzanian border village of Kitaya (Mtwara Region) October 15
Hawana haja ya kwenda maporini, ni Mze Yusuf na nduguye Ben Pol hawa wanatafuta kick tu.JWTZ badala ya kulinda mipaka wanalinda chama fulani
JWTZ nendeni mkapigane porini
Naskia aliye chinjwa ni mwanajeshi wa Tz kuna ukweli?Nimebahatika kuona video jamaa wamemchinja mtu kwa nyuma ya shingo Hadi kichwa kimetolewa alaf mmoja akaamuru kiwekwe barabarani.
Hao wavamizi wanaongea kiswahili kizur Sana na wanajitambulisha kuwa ni Alshabab kutoka msumbiji na ili kuthibisha wapo Tz wakaenda had kwenye picha ya kampen ya mgombea rais wa CCM huku wakitaja na jina la Kijiji, Kuna picha baadhi inaonyesha wameteka kifaru cha jeshi.
Hii kitu ipo serious sana wazee japokua taarifa zinafichwafichwa lakin ni vyema watu wawe na tahadhari sana.
Kweli tena tuna mega na eneo kutoka msumbiji maana wenye nchi wameshidwa kuendesha nchi yao.Haya makundi huwa yanaingia hivi hivi,yakiona sio pagumu wanakomaa hapo na serikali itahangaika sana kuwaondoa.
Hapo ni kuingia na kuwasaka popote inapohisiwa wapo,sababu tayari tunayo maana wameua ndugu zetu, wameiba kifaru na risasi,pia waneingia nchini kwetu kwa kuvamia.
Kama msumbiji wamefeli kuwadhibiti, sie tuingie tuwasake huko huko ndani ya msumbiji kwa msaada wa wana msumbiji.
Ujinga wa hivi ukilelewa unakuja kuleta madhara makubwa
The Seventh Largest City in Tanzania, hii ni kweli? Kwa maoni yangu, miji mikubwa ni:At least 20 civilians and 2 soldiers (in the respective unit), all of Tanzanian nationality, were killed by insurgents. After the attack, the insurgents retreated to Mozambique. The act took place on the night of this Wednesday, October 14, 2020, in which about nine vehicles (one of which, military), a health unit, were charred, as well as numerous houses belonging to local families.
Kitaya Village is located in the north of the Rovuma River and south of the provincial town of Mtwara and the river. Despite being of low flow, the river is popular for crocodiles, a fact that the crossing of the referred river, especially in the beginning of that night, may have been done with the use of canoes anchored by fishermen or facilitators of illegal transits. In fact, some Tanzanian citizens and residents of the village of Kitaya cultivate the land in Mozambique, obtaining short-term (pineapple) and long-term (Cajual) crops from it.
The distance between Kitara and Mtwara (the seventh largest city in Tanzania) is 51 km, unpaved.
Another Pinnacle News source who resides in Kitaya said that the Tanzanian authorities are already, mainly in civilian clothes, informing themselves about what happened and that they could possibly enter Mozambican soil to re-investigate and report on their hierarchy.
“Ndyo! Wametchoma moto nyumba na gary zetu na, sisi timekua tunakymbia ovyo-ovyo ”= It is the truth that our houses and vehicles were set on fire while we were running in bandits, stressed Bynti Habiba Hassane, one of the matrons of this village, who participated this morning, at two of the 22 well-attended funerals.
Tanzânia: Povoado de Kitaya é alvo de insurgentes - PINNACLE NEWS
Unajuaje.... Labda jamaa ni hacker anaweza hack base ya kijeshi ya marekani halafu akaiba drones, akazipeleka hapo msumbiji akawachakaza jamaa chap......Raha ya kuwa nyuma ya keyboard.
Mbeya ingekuwa namba5The Seventh Largest City in Tanzania, hii ni kweli? Kwa maoni yangu, miji mikubwa ni:
1. DSM
2. MWANZA
3. ARUSHA
4. TANGA/DODOMA/MBEYA
5.DODOMA/TANGA/MBEYA
6. MBEYA/TANGA/DODOMA
7. MOROGORO/MOSHI/MTWARA/IRINGA/TABORA.
Sasa kuanzia namba 4 hadi 7 ni ngumu sana kujua nani kamzidi nani
Jua ni chache ukilinganisha na huko wanakowafugaSiku chache kivipi?Siku tatu?