Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

Mbona hii Habari haipo popote zaidi ya hapa. Mwenye source nyingine tafadhali atume link
 
Kama wamerudi tena hao waasi wa Msumbiji itakuwa ni mara yao ya pili kama sio ya tatu, nakumbuka mwaka juzi waliibuka tena na kuleta taharuki kwa wakazi wa Nanyamba hasa Kata ya Kitaya ambayo ndiyo kuna njia fupi ya kuingia Msumbiji.

Nadhani kuna haja vikosi vya ulinzi na usalama viweke kambi kuanzia Kata ya Kitaya,Mnongodi pamoja na kufanya patrol kupitia barabara ya ulinzi.

Tukifanya delay kidogo athari zake zinaweza kuwa kubwa kuliko kawaida hasa ikizingatiwa last time waliteka nyara vijana wadogo na kuanza kuwapa mafunzo ya kigaidi ili waanze kiwatumia kwenye mission zao.
 
Hao jamaa ni hatari kufa au kuua kwao ni kawaida tuwaombee watu huko hasa ukiwa mbishi na masharti watakayo kupa.
 
Habari zilizopo kwa sasa wapo kijiji jirani na kitaya kinaitwa maembe chini,risasi zinaendelea kurindima wanajeshi wako njiani na vifaru wanaelekea huko
Risasi zinarindima kati ya nani na nani?
 
Jamaa wameonesha dharau sana kuvamia hadi huko. Inasemekana ni umbali kama 60km kutoka mtwara mjini ambako kuna vikosi vya jeshi pia,makao makuu ya mkoa.

Kitu hatari zaidi ukanda huo wa mto ruvuma kumemwagwa askari wa Tanzania Hawa jamaa wameweza vipi kufanya hayo matukio.

Mie nashauri ifike sasa tuweke kambi ya kijeshi huko ya kudumu,ikiwezekana iwe ya mafunzo pia,kama vile mafinga na monduli.

Hatuwezi kuwekwa roho juu na kikundi tu cha watu.
 
Nimebahatika kuona video jamaa wamemchinja mtu kwa nyuma ya shingo Hadi kichwa kimetolewa alaf mmoja akaamuru kiwekwe barabarani.

Hao wavamizi wanaongea kiswahili kizur Sana na wanajitambulisha kuwa ni Alshabab kutoka msumbiji na ili kuthibisha wapo Tz wakaenda had kwenye picha ya kampen ya mgombea rais wa CCM huku wakitaja na jina la Kijiji, Kuna picha baadhi inaonyesha wameteka kifaru cha jeshi.

Hii kitu ipo serious sana wazee japokua taarifa zinafichwafichwa lakin ni vyema watu wawe na tahadhari sana.
 
Haya makundi huwa yanaingia hivi hivi,yakiona sio pagumu wanakomaa hapo na serikali itahangaika sana kuwaondoa.

Hapo ni kuingia na kuwasaka popote inapohisiwa wapo,sababu tayari tunayo maana wameua ndugu zetu, wameiba kifaru na risasi,pia waneingia nchini kwetu kwa kuvamia.

Kama msumbiji wamefeli kuwadhibiti, sie tuingie tuwasake huko huko ndani ya msumbiji kwa msaada wa wana msumbiji.

Ujinga wa hivi ukilelewa unakuja kuleta madhara makubwa
 
Mie meishia enda soma histori ya alodokeza tukio Jasmine Opperman

Jasmine Opperman

natumai taarifa zitatolewa, kwa sasa hawawezi tangaza manake wahalifu watakimbia ama kubadilisha mbinu
 
Dah nilikuwa naona hii issue tukijadili humu ni mzahaa kumbe ni kweli hawa magaidi wanachinja na kutesa ndugu zetuwatanzania huko mtwara.

This is fundamentally wrong and totally unacceptable. Vyombo vya ulinzi na usalama vitumie scorched earth policy na countersugency techniques kuwapoteza haya magaidi.

Am Fakin scared!
 
At least 20 civilians and 2 soldiers (in the respective unit), all of Tanzanian nationality, were killed by insurgents. After the attack, the insurgents retreated to Mozambique. The act took place on the night of this Wednesday, October 14, 2020, in which about nine vehicles (one of which, military), a health unit, were charred, as well as numerous houses belonging to local families.

Kitaya Village is located in the north of the Rovuma River and south of the provincial town of Mtwara and the river. Despite being of low flow, the river is popular for crocodiles, a fact that the crossing of the referred river, especially in the beginning of that night, may have been done with the use of canoes anchored by fishermen or facilitators of illegal transits. In fact, some Tanzanian citizens and residents of the village of Kitaya cultivate the land in Mozambique, obtaining short-term (pineapple) and long-term (Cajual) crops from it.

The distance between Kitara and Mtwara (the seventh largest city in Tanzania) is 51 km, unpaved.

Another Pinnacle News source who resides in Kitaya said that the Tanzanian authorities are already, mainly in civilian clothes, informing themselves about what happened and that they could possibly enter Mozambican soil to re-investigate and report on their hierarchy.

“Ndyo! Wametchoma moto nyumba na gary zetu na, sisi timekua tunakymbia ovyo-ovyo ”= It is the truth that our houses and vehicles were set on fire while we were running in bandits, stressed Bynti Habiba Hassane, one of the matrons of this village, who participated this morning, at two of the 22 well-attended funerals.
Tanzânia: Povoado de Kitaya é alvo de insurgentes - PINNACLE NEWS
Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.

Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea wananchi kukimbilia Porini.

Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea kurindima.

Nimepatiwa taarifa hii na mkazi mmoja akiwa huko mafichoni na familia yake.

Nitaendeea kuwajuza kadri nipatavyo taarifa.

Tuwaombee.
 
Mimi yangu nisemayo ni haya.

1. Kwanini hawa watu wameweza kuingia wakati tayari taarifa zao zilikuwepo? Je, kuna watu wamezembea kuweka mkazo ktk hili jambo? If Yes, wajibisha hao watu, yamkini hao watu wana connection au personal interest kwa hawa magaidi ndo maana mwanzo hatua hazikuchukuliwa, ktk mambo ya intelligenc anything can happen. Tuanzie hapa kwanza.

2. Tukio zima lililotokea, ni kwanini majeshi hayakufika ktk eneo? Ina maana taarifa walikuwa hawana? Kitu ambacho Almost ni impossible, wamewezaje kuchukua vifaa vya jeshi? Raia ina maana hawakupiga simu polisi?

3. Kwanini hizi taarifa zimefinywa? Ina maana tutaingia ktk hii vita huku tukijua kuwa kuna watu hawapendi uwazi, ukiwa muwazi utafanya kila mtu aseme kile ambacho anakihisi, hata wale wenye taarifa wataweza kusaidia vyombo vya usalama. Ila ukimya wa kipumbavu ni kuangamiza nchi ktk hili, jambo ndo kwanza limeanza, tuliweke wazi sote.

4. JWTZ, Polisi na TISS wafanye kazi kwa uzalendo na kuweka pembeni kuwa wao ni chombo kinachoogopwa na raia, wajue kuwa hawa wanaopambana nao sio raia wanaowaogopa.

Kama tumeweza kufanya makampeni kwa kulipa wasanii ktk show, hizo fedha tununue silaha, vyakula n.k ili kuwapa motisha maaskari.

Mimi ni hayo tu.
 
At least 20 civilians and 2 soldiers (in the respective unit), all of Tanzanian nationality, were killed by insurgents. After the attack, the insurgents retreated to Mozambique. The act took place on the night of this Wednesday, October 14, 2020, in which about nine vehicles (one of which, military), a health unit, were charred, as well as numerous houses belonging to local families.

Kitaya Village is located in the north of the Rovuma River and south of the provincial town of Mtwara and the river. Despite being of low flow, the river is popular for crocodiles, a fact that the crossing of the referred river, especially in the beginning of that night, may have been done with the use of canoes anchored by fishermen or facilitators of illegal transits. In fact, some Tanzanian citizens and residents of the village of Kitaya cultivate the land in Mozambique, obtaining short-term (pineapple) and long-term (Cajual) crops from it.

The distance between Kitara and Mtwara (the seventh largest city in Tanzania) is 51 km, unpaved.

Another Pinnacle News source who resides in Kitaya said that the Tanzanian authorities are already, mainly in civilian clothes, informing themselves about what happened and that they could possibly enter Mozambican soil to re-investigate and report on their hierarchy.

“Ndyo! Wametchoma moto nyumba na gary zetu na, sisi timekua tunakymbia ovyo-ovyo ”= It is the truth that our houses and vehicles were set on fire while we were running in bandits, stressed Bynti Habiba Hassane, one of the matrons of this village, who participated this morning, at two of the 22 well-attended funerals.
Tanzânia: Povoado de Kitaya é alvo de insurgentes - PINNACLE NEWS
Balaaa la aina yake
 
Vita sio ngoma ya gobogobo. Watu wanaongelea kirahisi, Tanzania iwe na amani bila kuwa na maadui, wenzetu Kenya Al shabab inawatesa miaka 5 sasa, vita ya kigaidi sio ya kuombea.
 
Back
Top Bottom