Kuna jambo lazima litafanyika hivi karibuni nchini Urusi ili kumaliza vita ya Urusi na Ukraine, na bei ya mafuta inaweza kuanguka kuliko kawaida

Inaonekana kama vile unaamini duniani watumia gesi ni watu wa Ulaya tu.. Kuna binadamu kwa mabilioni nje ya Ulaya na Marekani
 
Inaonekana kama vile unaamini duniani watumia gesi ni watu wa Ulaya tu.. Kuna binadamu kwa mabilioni nje ya Ulaya na Marekani
Sasa mkuu we mwenyewe hapo ukute hutegemei gas kwa matumizi yako hata 50%.
Lakini wao ni asilimia 100% wanatumia gas kwa hiyo kuuza gas ni faida mno na ile ni sehemu iliyo endelea sana.
Na jambo lingine tambua pia mataifa mengi yaliyo baki yana gas yao kiasi.
 
Yaani unasyongelea Urus kama unaongelea mavi.

Ulizia vipi HIMARS zimeishia wapi? Urus imeonesha uimara mkubwa sana, maana kipekee imeweza kukabiliana na Madola karibia 40 yenye nguvu.

Uchumi wa Ulaya umedolola na inflation ni kubwa sana, nilikuwa huku wiki kama tatu tuache utani, Uchumi wa Uingereza unasuasua, Marekani inegeukana na Saudi Arabia, Ruble ya Urus imezidi kuimarika katikati ya vikwazo.

Swala la chakula duniani tumeona, Urus ndo ana karata muhimu hapa duniani, Marekan kapigana vita kibao lkn dunia haikuwahi kutikisika hivi.

Maghara ya silaha Ulaya yapo depleted, mnasema silaha za Urus nidhaifu, are you serious guys?

Stingers, hiwitzers, Juveline, HIMARS zote pamoja na mifumo ya ulinzi imeshindwa kumzuia Putin kupiga popote hapo Ukraine.

Saivi ni Urus Vs NATO jiulize kama ingekuwa walau Ulaya tu bila Marekani wangeweza kuhimili?

Mpaka leo Marekani kashatumia zaidi ya dola bilion 18 kijeshi hapo Ukraine yaani trilion zaidi ya 40 lkn bado Urus imeyachukua maeneo manne waziwazi na yamepiga kura Ukraine akiwa anaona na Ulaya wakibweka tu.

Dunia hii tumejua wazi kuwa Urus imeweza kuitikisa Ulaya kisawasawa na hapa tunazungumza kama mzaha lkn Ulaya inaweza kuwa deindustrialized kama hujui Marekani anatamani hili jambo litokee ili Ulaya iendelee kuwa nyanya kwake.

Yote kwa yote sisi ni watoa maoni, Putin kajitaidi kwa kiasi chake lkn pia Ulaya na Marekani hawakujua kama Uchumi wao ungeweza kutikiswa kiasi hiki China anafurahia tu huu mpalaganyiko.

Afrika hatujielewi badala ya kutumia nafasi hii vizuri tupo kupinduana tu huko Afrika magharibi, mtoto wa Mseven anaongea utoto tu anapandishwa vyeo..very hopeless
 
Mkuu Bams ona hoja za mashabiki wa Putin, wengi ni empty head hakuna wanachojua, wao wanachojua ni ushoga tu.
Uyo jamaa ni mwehu achana naye wala asikupe shida mzee mpotezee kabisa sasa uyo mtu anayeandika vitu kama ivo huoni kuwa hajielewi yaani ni empty set chiz fresh uyo achana naye
 

athiri sana bei ya mafuta, hasa kuitelemsha. Watch this space
Yote yamesemwa ndani ya Biblia. Marekani na Washirika wake Mfalme wa Kusini; na atabaki hivyo mpaka mwisho wa mfumo Juu. Urusi na Washirika wake Mfalme wa Kaskazini; ingawa watajitutumua wawe world superpower hawatafanikiwa. Also watch the space about what is going on in Iran especially and China is also going there
 
Yaani sisi waafrika tujielewe kwa kushabikia ujinga wa putin kuvamia nchi nyingine ambayo iko huru kabisa kama sisi hatujielewi basi yeye ni chizi kabisa yaani hamna kitu kichwan alafu kabla hujandika ugoro wako tena apa jukwaani jaribu kuwa unajielimisha basi ata kidogo je unafahamu matimizi ya STINGER , je unafahamu matumizi ya JAVELLIN, je unafahamu matumizi ya NLAW , je unafahamu matumizi ya HIMARS mzee wangu ama umeamua gu kujiropokea kama mnywa gongo ama chibuku mzee ukirudia tena kuandika pumba nakuignore leta hoja za vitu unavyovifahamu na siyo unaandika ujinga tu apa kajielimishe kwanza na ufahamu kwa usahi kazi na matumizi ya silaha izi zifutavyo

STINGER
NLAW
JAVELLIN
HIMARS
M777 HOWTIZER
MRLS M240 (advanced HIMARS)
CEASER
GEAPARD
ATACMS
NASAMS
IRIS_T L
IRIS_T LM


Ukisha fahamu matumizi ya izo silaha urudi apa tubishane
 
Nilikuwa namaanisha kuna wanunuzi wengine wengi wakubwa wa gesi na mafuta ya urusi zaidi ya Ulaya na Marekani
 

 
Kuna mijitu humu inaota ndoto za Abunuasi, wafaransa wana nchi wameandamana kushinikiza serikali yao ijitoe katika kuisaidia Ukrain!
Maana mahitaji yamepanda bei maradufu!
Maandamano yanaendelea Ufaransa, Jamhuri ya Czech, ujerumani Italia nk kote huko viwanda vingi na biashara vilivyokuwa vinategemea gesi ya bei chee toka Urusi viko mbioni kufungwa. Hii inaashiria tafran kubwa watu kupoteza ajira lakini pia kupanda sana kwa bei za nishati na mfumko wa bei.. Itawachukua ulaya mda kidogo kupata mbadala wa gesi bei chee kama ya Urusi (wameanza kuwapiga mkwara wazalishaji wengine manunda kama Saudia) Kuwawekekea vikwazo na mibinyo mingine lukuki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…